Kanisa la Umoja hapa katika jiji la Dallas pamoja na watu wote kutoka Afrika ya Mashariki tunapenda kumkaribisha kila mtu katika semina maalumu ya maombezi pamoja na changamoto zinazomkabili mwanadamu katika jiji letu la Dallas.
Semina hii maalumu na ya kipekee kabisa itaongozwa na MAMA HABIBA kutoka BUKOBA-Tanzania PAMOJA NA DR.JERRY MNG'WAMBA kutoka katika jiji la la Houston.
Jina la mama Habiba sio geni ndani na nje ya Tanzania kutokana na karama ya maombezi ambayo amepewa na Mungu.Mungu amemtumia mama Habiba kwa namna ya tofauti kabisa na miujiza mingi ya uponyaji Mungu ameifanya kupitia huyu mtumishi.
Kwa kuwa tunategemea kuwa na idadi kubwa ya watu hatutaweza kuchukua idadi kubwa zaidi ya uwezo wa kumbi .Ninakushauri ujitahidi kuwahi nusu saa kabla ya muda uliopangwa.
Kumbuka kuleta wagonjwa mbali mbali
pamoja na watu wenye mahitaji mbali mbali.
Tarehe ni 22&23 Mwezi huu wa tano (Jumamosi&Jumapili)
Mahali: Umoja Church,
Tarehe ni 22&23 Mwezi huu wa tano (Jumamosi&Jumapili)
Mahali: Umoja Church,
12727 Hillcrest Rd.
Dallas Texas, 75230.
Muda:Saa 12 jioni mpaka saa 2 jioni ( 6-8Pm )
Muda:Saa 12 jioni mpaka saa 2 jioni ( 6-8Pm )
mungu atuongoze na seminali iende vyema....amen...
ReplyDelete