Godfrey Bonny wa Iringa (kushoto) akichuana na Mwagane Yeya wa Mbeya timu hizo zilipomenyana jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa,mechi ya makundi Kili Cup. Iringa ilishinda kwabao 1-0. Mchezaji Mwagane Yeya wa Mbeya akipambana na mchezaji wa Iringa George Haule, timu hizo zilipomenyana jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa,mechi ya makundi Kili Cup. Iringa ilishinda kwabao 1-0
Kiba Abdulrazak Jackson wa Mbeya akijaribu kudaka penalti ambayo hakufanikiwa na kusababisha Iringa kupata bao la pekeena la ushindi,timu hizo zilipomenyana jana katika uwanja wa Samora mjini Iringa,mechi ya makundi Kili Cup. Iringa ilishinda kwabao 1-0.
Picha na Executive Solutions.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2010

    kweli africa mwana kucheza mpira kwenye hali hii ya ukame noma, unaweza ugaanguka gafla uwanjani watu wakazani umelogwa bure kumbe jua kali ,chakula chenyewe duni !!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    hivi kampuni linadhani mchezo huu kwa lengo lipi, ona uwanja ulivyotupu......

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...