Msanii Innocent Galinoma, maarufu bongo kwa kibao chake cha 'Kilimanjaro' anaendelea kutesa huko ughaibuni aliko katika jiji pacha la Minnesota. Ukitaka kujua mengi kuhusu huyu nguli wa muziki wa reggae BOFYA HAPA


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2010

    INNOCENT GALINOMA,

    KAKA unanyamaza mno wewe ulisema ulipotoa wimbo wako wa kilimanjaro, ulisema utamzidi Luck dube, sababu unasauti kama Bob marley na vihonjo kama bob, sasa tatizo ninini, ninahamu sana kusikia unaimba sio store kaka nafasi unayo. ras job tz IRINGA.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2010

    wewe nabii mzuri mbona hukubaliki
    tz?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2010

    nyela kamwene va-kuboma?
    wahungile ukoo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2010

    Inno ni one of the best katika reggae na mara ya kwanza nilipomwona sikuamini kama ana kile kipaji na nilijua jamaa lazima atafika mbali sana na kila nikisilizza nyimbo zake bado namkubali sana lakini cha ajabu sioni aki make big na sijui kwanini,yaani huyu jamaa kwa talent yake hana tofauti kabisa na watu kama kina lucky Dube or Alpha Blondy...sasa sijui tatizo ni nini,sikilizeni nyimbo zake kama mama im coming home mtakubali ile ni talent,Inno kaa na wataalam wa muziki uangalie kwanini huja make big maana kipaji unacho

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2010

    Wimbo safi sana. Kaka unaimba sana sauti yako nzuri na maneneo ya nyimbo unajua kuyapangilia. Sitasahau vibao vyako vikali kama Sote ni ndugu, Full moon,Kilimanjaro n.k.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 12, 2010

    Kaka labda uangalie unajihusisha na watu gani? Wengine watakuzingira tu kwa manufaa yao. Sasa kaa chini na upate mtaalamu wa mziki akuambie au akushauri cha kufanya. Kwa kweli unaimba vizuri sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...