Aunt Ezekiel (kulia) akiwa na chipukizi mkali katika filamu Elizabeth Domisian wakiwa katika set..Ilikuwa ni ngumu sana kuamini kama Aunt Ezekiel anaweza cheza filamu yakidini na kuweza kuimudu kwa kiwango cha juu kama alivyofanya katika filam ya PASTOR MYAMBA TEMPTATION..Hakika Aunt ni mkali katika filam.
Kwa hayo na mengine mengi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 16, 2010

    Biashara Matangazo.

    Wadau wa p*jazz, kazi kwenu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2010

    NAOMBA KUFAHAMU EZEKIEL NI JINA LA KIKE AU LA KIUME? MIMI NIJUAVYO NI JINA LA KIUME SASA UNAPOSEMA HUYO NINAYEMWONA KWENYE PICHA NI AUNT MIMI HAPO UMENICHANGANYA KAMA MIMBOGA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2010

    He!..kumbe kuna wanawake wanaitwa EZEKIEL! Au ndio mambo ya auntie..yule wa kiume!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2010

    huyi anti ezekieli ni nani?ni shoga?what is the story?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2010

    Jamani mimi kilichonimaliza ni huo mguu wa Ant hapo juu. Jamani kama huyu dada hajaolewa basi ameshapata mchumba. Hapa duniani watoto wapo aisee. Maana huo mguu naona sio sahihi dada mzuri kama huyu kuendelea kufanya film wakati anafaa kuwa mama wa nyumba na kuendelea na maisha ya raha mstarehe. Ankal Mithupu leta data zake tuzifanyie kazi.
    Mdau

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2010

    First name: Aunt.
    Surname: Ezekiel.
    Nini kigumu hapo kuelewa??

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2010

    kwa kweli ni muigizaji mzuri saana
    alicheza picha na ray,dr cheni mpaka cheni kutembelea will chair
    alicheza nafasi yake ipasavyo
    hongera sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2010

    mkao kama wa ki-lesbian hivi duh!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2010

    Wewe ulitamani mguu umetaka kila mtu ajue kuwa wewe ni MKWARE, unaoa miguu si ndiyo!!!!!!!!!!!!!!!! Acha ushamba, yalekea kama vile ulikuwa JELA na umetoka hivi karibuni.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2010

    Mdau Tarehe Mon May 17, 12:15:00 PM,
    Hebu tumia Lugha ya taifa tu si lazima utumie lugha ya kwa Mama. Will Chair <> Wheel Chair. Hata mimi lugha hii naipenda lakini inanipigaga chenga hivyo kama hakuna ulazima natumia lugha yangu ya KISWAHILI.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 17, 2010

    WABONGO BWANA KWA KUKARIRI!!,YAANI KWA KUWA MASHOGA WANAITWA AUNT FULANI BASI MNAFIKIRI KILA AITWAYE AUNT NI..
    INAONEKANA VICHWA VYA WATU WENGI VINASHABIKIA USHOGA NDIO MAANA MNAWAZA USHOGA TU.

    HIVI HAMJUI KUWA AUNT NI JINA LAKE HALAFU EZECHIEL NI LA BABA YAKE? NDIVYO HIVYO.MTU KAMA ANAFANYA VIZURI KWENYE KAZI YAKE BORA KUMPONGEZA.
    HONGERA AUNT EZECHIEL.
    Mdau wa filamu Tanzania

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 17, 2010

    Hapo kitambo kabla sijamuona huyo dada(Aunt Ezekiel) ilikua nikisikia Jina hilo nilidhani ni wale jamaa wa magomeni kwa macheni(mashoga)

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 18, 2010

    Mbona paja nje na macho ya kurembua??? Au ndivyo alivyo hivyo kila siku? Au ndio "usasa"?

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 18, 2010

    Aunt Ezekiel atuthibitishie kuwa yeye sio shoga....a-prove humu humu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...