Home
Unlabelled
Nape Nnauye ajitosa kuwania ubunge ubungo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
aisee!! sasa hapa CCM watacheza karata nzuri,Mwanyika nakukubali lakin kwa hiki kichwa itabidi nikutose. kura ya ubunge kwa NAPE,kura ya Rais simpi mgombea yeyote. kaka Nape pamoja sana tu
ReplyDeleteaisee!! sasa hapa CCM watacheza karata nzuri,Mwanyika nakukubali lakin kwa hiki kichwa itabidi nikutose. kura ya ubunge kwa NAPE,kura ya Rais simpi mgombea yeyote. kaka Nape pamoja sana tu
ReplyDeleteMyika kama ungekuwa bado unaivya na Zitto angekusaidia.. nakushauri tu utafute jimbo jingine.
ReplyDeleteMpaka ssa hivi kuna wagombea kama 3wa jimbo la Ubungo.
ReplyDeleteUS Blogger-CCJ
John Myika-Chadema
Mnake Mnauye-CCM
natabiri matokeo yatakuwa kama n=jinsi nilivyopanga majina.
Bw. Mnauye nakupongeza kwa kujitangaza, natumai tutakuwa na ushindani mkali katika kinyang'anyiro hiki.
(US Blogger)
hongera nape..kila la heri
ReplyDeleteBora kijana utaokoa mengi Keenja tumemchoka
ReplyDeleteWewe dogo tafuta kazi nyingine ya kufanya, Kipaji cha uongozi huna na sisi wakazi wa Ubungo hatuwezi kumpa ubunge mtu mwenye upeo mdogo wa kufikiri.
ReplyDeleteNatamani ashinde lakini haitakuwa kitu rahisi kumwangusha mama Shamsa Mwangunga ambae nae ameonyesha nia hiyo. Harakati za wabunge akina mama kuingia bungeni kwa majimbo zimepamba moto. Mwenyekiti wa UWT ni mkorofi sana atafanya lolote kama alivyosema kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kwamba atahakikisha majimbo ya Dar yanachukuliwa na wanawake. Yule mama (Shamsa) ni waziri na hiyo ina maana atapata support ya ikulu. Na pia unaingia vitani na Nchimbi tena, Nape hujachagua jimbo sahihi ingawa mtaji unao.
ReplyDeleteMnyika (CHADEMA) Vs Nnauye (CCM) Vs ??$$%% (CCJ) 2010 nani zaidi???
ReplyDeleteHONGERA NAPE MTU WA WATU KAMA MAREHEMU BABA YAKO ALIETUACHIA UTAJIRI WA HEKIMA NA BUSARA,JIMBO LA UBUNGO SIDHANI KAMA UNAWEZA KULIKOSA ISIPOKUWA NAHOFIA KAULI YA "MWAJIRI MKUU" YA KWAMBA HAHITAJI KURA ZA WAFANYAKAZI INAWEZA KUKU COST SI UNAJUA WAKAZI WENGI WA JIMBO HILO NI WANAFUNZI NA WAFANYAKAZI?INGEKUA ILALA(KARIAKOO)UNGEPATA KIRAHISI,LAKINI ANYWAYZ KAZA BUTI MAKEKE YAKO KATIKA KUPINGA HADHARANI MKATABA WA KINYONYAJI KATIKA UJENZI WA JENGO LA UMOJA WA VIJANA INAWEZA KUWA MTAJI WA KUKUTOA,NAAMINI WEWE UNAWEZA KUWA KIELELEZO CHA KIZAZI KIPYA CHA CCM MPYA ILIYOJITENGANISHA NA UFISADI WA WACHACHE NDANI YA CCM LAKINI WENYE UBAVU
ReplyDeleteCCM na Nape mnajidanganya kuhusu Ubungo. Siasa za ulaghai na kutumia majina ya wazazi zishapitwa na wakati. Sasa hatudanganyiki,tumechoka kuibiwa rasilimali zetu na utawala wa CCM na sasa lazima tuung'oe maana sisi sio mazumbukuku tena.Nape unaweza kweli kujilinganisha na Mnyika katika uelewa na uchungu wa wana Ubungo na nchi hii kweli?
ReplyDeleteYaani sasa ndio nimeelewa.
ReplyDeleteKumbe ndio sababu ya Makelele yote yale!
Kumbe ilikuwa sababu ya hii!
Khaah
Nape ur the right candidate in a wrong province! Ubungo kwako halilipi cause Mama Mwangunga atapata support kubwa sana ya Ikulu. Ukizingatia kuwa kuna mpango wa kuwainua akina Mama, bwana katika historia ya CCM kutosa wanaotarajiwa na kuwaweka wasiotarajiwa haiwezi kuepukika!. Anyway sijui lakini nadhani kwako mpinzani sana ni Mwangunga kabla ya Mnyika John! All & All....All the best Nape!
ReplyDelete