www.bahariviewbagamoyo.blogspot.com
bahariviewbagamoyo@gmail.com

+255786443322
+255715331233

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2010

    hamna lolote wizi mtupu na unafiki juu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2010

    ankali naona wanauza nyago tuu hao jamaa yangu fanya miundo mbinu ya kutuwekea mambo ya maana si kuuzisha nyago watu

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2010

    Yaani nimefurahi kuona hiyo , maana tulivoeenda bagamoyo mara ya mwisho mwaka jana tulipata tabu sehemu ya kula , lakini sasa nikienda nitaenda hapo, na hao wanaosema wizi mtupu , wanafiki hao wao hawana kazi za kufanya kazi kukandia juhudi za wenzao. ulienda hapo ukaibiwa ? sasa unasema wizi wa nini ?

    mdau
    kariakoo

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2010

    si mchezo !! bagamoyo inakuwa sasa dah itabidi nifanye mpango nipate kiwanja na mimi huko nijijengee kibanda changu, kwani mjini pamejaa sasa hata kupumua huwezi na isitoshe sasa kuna barabara nzuri lami mpaka bagamoyo raha tupu...

    ReplyDelete
  5. Aaaa!

    Me nilidhani kuna VYUMBA bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...