Hallo Kaka Michuzi,
kabla ya yote kwanza nikupe pongezi kwa kazi yako kubwa ya kutupasha habari murua na za uhakika kipitia blog hii ya jamii.
Sisi, Talent Search and Empowerment(TSE) ni asasi ya kijamii ambayo inajushughulisha na kuvigundua na kuvikuza vipaji vya watoto na vijana kuanzia miaka 7- 18.
TSE kwa sasa tunahusika na Project tatu(3) yaani;

Football, Music& Performing Arts and Computer Training.
Wahusika wetu wakuu ni watoto wa shule za misingi na sekondari ambao wazazi wao hawajiwezi kifedha, wanaoishi kwenye mazingira magumu na yatima.
TSE inatoa huduma hizi zote kwa Free of Charg(bure), kinachotakiwa ni mtoto kuja ofisini kwetu kuchukua fomu na kuzipeleka sehemu zinazotakiwa alafu anarudisha kwetu na ataanza masomo.
Hivyo basi tunawakaribisha watoto na vijana hapa kituoni kwetu kwa wingi.
TSE tunapatikana Ubungo Kibangu- Dar es Salaam(ukishuka kituo cha Riverside ulizia madereva Tax na watakuelekeza jinsi ya kufika).
Nambari yetu ya simu ni 0754911437.
For more info: www.tsempowerment.org.
YouTube: talent search and empowerment.
Asante sana.
Mdau wako,
Mome.
''when children play the world wins''

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...