wadau wakicheki gemu la Bwawa la Maini na wana Darajani jioni hii katika kiota cha Break Point ya Mjini jijini Dar. Chelsea imeshinda 2-0 kwa taaaaaabu...
Home
Unlabelled
ligi kuu ukerewe..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
wadau wakicheki gemu la Bwawa la Maini na wana Darajani jioni hii katika kiota cha Break Point ya Mjini jijini Dar. Chelsea imeshinda 2-0 kwa taaaaaabu...
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
USIWE MNAFIKI NA MUONGO, CHELSEA HAWAJASHINDA KWA TAAAAAAABU KAMA UNAVYODAI WAMESHINDA KIRAHISI SAAAAANA HAKIKA LIVERPOOL WAMEONESHA JINSI GANI NI TIMU MBOOOOVU EPL!!
ReplyDeleteNAKWELI TUMEWAFUNGA KWA TABU YANI KAGOLI KAMOJA FIRST HALF NA KENGINE KAMOJA KAMBINDE SECOND HALF NYUMBANI KWENU??? LIVER MWAKA HUU NZURI. MWAKAJANA TULIWATIA NNE. XCUSE MY FRENCH
ReplyDeleteMDAU WA BLUU
Wee michuzi acha uzushi, mmechezewa kama watoto wadogo na kufungwa mmefungwa lakini chaajabu ni kwamba man u ndio kaachwa na majonzi.
ReplyDeleteUkweli tunaujua,Liverpool mlibidi mpigwe hata 5-0,Kalou alikua anamkimbiza mascherano kama hana akili nzuri vile,Come On Blues
ReplyDeletehuyo ambaye anasema Chelsea wameshinda kwa tabu hata hajui mpira!!!na nadhani ni mpenzi wa man utd!!!! usibane km unaujua mpira ongea ukweli mechi yote liverpool walikuwa wamezidiwa hlf ww sijui unaongea utumbo gani!!! mdau wa chelsea ughaibuni!!!
ReplyDeleteeti chelsea wameshinda kwa tabu hili jamaa hata halijui mpira!!hlf nadhani ni lipenzi la vichwa vya wendawazimu man utd!!
ReplyDeleteMhh mjomba mjomba wala sio kwa taaabu kiivyo, mwaka mbaya kwako jipangeni upya
ReplyDeleteHizo teams mnazoziongelea ni za kwenu? Maana maongezi yote ni "tumewafunga, tumewafunga"! Hembu msichekeshe walionuna hapa. Ongeleeni mambo ya suluhi yenu na Rwanda, Ngorororo Heroes na Ivory Coast, na timu zetu nyingine za nyumbani.
ReplyDeleteSASA WANAMFUKUZA RAFA NA WANAMTAKA MENEJA WA FULHAM, MAJI KIUNONI
ReplyDeletehaya ni maajabu amefungwa liverpool lakini wamenuna man u
ReplyDeleteNimehama hili timu la kisenge kila siku kufungwa tu yanini kuapta BP.Timu zimetutangulia pointi zaidi ya ishirini tunabaki kushangalia timu zingine hata nafasi ya nne tumekosa.Europe league tumetolewa hata komba la mbuzi hatuna.Bwawa la Maini my ass.Bakini nyie .
ReplyDelete