Ofisa Mtendaji Mkuu wa asasi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na utoaji wa ushauri wa masuala ya biashara ya Konsalt, Dickson Hyera akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam, jana kuhusu maandalizi ya kongamano la wadau wa kodi linalotarajiwa kufanyika Agosti 13. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wajasiriamali, Osias Mwanyika.

Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    HIYO TAASISI INAITWAJE

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    Hivi michuzi maandamano ya maymosi hukuyaona??, wewe sio mfanakazi?? umeamua kuchuna?? au hauna kero za kiufanyakazi?? au mimi nimeangalia vibaya?? maana ankal mi ninavyokujua lazima ungerusha ili wadau wapate kuona yaliyoongelewa katika maandamano yote mawili.
    Solidarity!!!!!!! FOREVER!!!!!!!!!!!!!!
    MSHIKAMANO !!!!!!!!!!!!!!
    DAIMAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...