Ofisa Mtendaji Mkuu wa asasi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na utoaji wa ushauri wa masuala ya biashara ya Konsalt, Dickson Hyera akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam, jana kuhusu maandalizi ya kongamano la wadau wa kodi linalotarajiwa kufanyika Agosti 13. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Wajasiriamali, Osias Mwanyika.
Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.


HIYO TAASISI INAITWAJE
ReplyDeleteHivi michuzi maandamano ya maymosi hukuyaona??, wewe sio mfanakazi?? umeamua kuchuna?? au hauna kero za kiufanyakazi?? au mimi nimeangalia vibaya?? maana ankal mi ninavyokujua lazima ungerusha ili wadau wapate kuona yaliyoongelewa katika maandamano yote mawili.
ReplyDeleteSolidarity!!!!!!! FOREVER!!!!!!!!!!!!!!
MSHIKAMANO !!!!!!!!!!!!!!
DAIMAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!