Vodacom Miss Bagamoyo, Magreth Okonai, akiwa na washindi wa pili na watatu
Vodacom Miss Bagamoyo, Magreth Okonai, akiwa na mshindi wa pili Zainabu Ally (kulia), na mshindi wa tatu Winny David. Shindano hili lilifanyika katika mji huo mkongwe wa Bagamoyo mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2010

    HUYU MISS MIGUU VIPI MBONA NJITI SANA???????????????/

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2010

    Ankal vipi hii Okonai, mbona haifanani na bagamoyo, mie nilitegemea labda jina la huyo mshindi wapili, au chausiku, sikuzani, n.k

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2010

    Kwa mtazamo wangu, naona kama huyo aliyevaa njano ndie angestahili kuwa Miss Bagamoyo, kwa jinsi alivyo alivyo. Ila sijui tena mambo ya I. Q na nini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...