Home
Unlabelled
mdau ala nondozzzzzz
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
...duuuu inanikumbusha Ilala mitaa yetu hiyo enzi hizo broo Lugalo vijana wanapiga libeneki Ilala primary, Iringa kwa Mzee Kasambo.
ReplyDeleteBroo hongera sana mpe hi dogo steve.
kwa kuwakilisha.
Hongera sana Vicent, hii inatia moyo sana. tunasubiri yako Steve.
ReplyDeleteMdau birmingham-UK (classmate wa steve)
Chediel
ReplyDeleteImetulia kamanda..namkumbuka huyu mjizi na familia yao kwa ujumla..The guys was bad when come to school things...Kila la heri Mdau Vicenti katika carrier yako...
hongeraaaaaaaaaaa mdau kwa kula nondo uko juuu elimu ni master key
ReplyDeletemy best bet mlienda Swahili restaurant after that... Godwin vipi? Naum alikuwa wapiz... Congrats wazee wa Iringa! Chadiel uko wapi siku hizi? mg
ReplyDeletebig up wadau kwa kula nondo huko USA
ReplyDeletetupeni michongo washikaji huku bongo
ReplyDeleteaminia babake
ReplyDeleteebwana tamu sana... Wazee mnawakilisha.. pwaz K usikimbie shule.. iga blazaako... Godwin umetoka pamba ka unatoka sign mkataba hotelini....
ReplyDeleteHongera sana.Inapendeza familia nzima kuwa vichwa
ReplyDeleteGee, great man, hongera sana. Rafa alikuwa wapi hapo?
ReplyDeletehongera sana kaka vicent, ila steven usivalie sutim kwa shughuri za wezako komaa na wewe upate nondo
ReplyDeletecharles
Safi sana vijana naona mnapiga nondo bado wewe Godwin na kasambo
ReplyDeleteankal godwin hiyo suti ni bei gani?
ReplyDeletenaomba namba ya GODWIN TULISOMA NAYE PRIMARY huyu kaka-anna
ReplyDeleteCongrats Vincent!!
ReplyDeletemwanangu naona wewe kwisha kuwa laigwanani fulu.
Elly.
Hongera mzee kwa kukamata hiyo shahada ya pili(UZAMILI) kwenye mambo ya tekenolojia ya habari iliyobobea kwenye uongozi wa miradi. NI MUDA SAHIHI KUFIKIRIA VIZURI KATIKA KUITUMIA HIYO SHULE. Itakuwa si busara kuwa na shahada ya uzamili na kuendelea kufanya kazi za kuwaogesha vibibi vizee au kuwa walinzi ULAYA na MAREKANI Ila kama utapata kazi katika ULEDI wako bora ubaki huko. NAMUONA KIJANA Godwin, Long time toka tupo Tanga school
ReplyDeleteAnnoy wa 06:33 PM
ReplyDeleteIn life there is a stage.Even kids have to start walking after crawling stage is gone. What do I mean..If you get a chance to come in US or Europe no matter what credentials you possessed, acceptance of situation you find here is the number one criterion to success..You have to go by that dirty jobs before you reach your dream.....
I am in the States since 1998 living Kansas..now I'm making grand of $$ from that job you have a thoughts its bad one
Nawakilisha Kasambo's family.. We have a proud kwa achievement yako..
ReplyDeleteHongera sana kijana
ReplyDeleteChediel uko wapi wewe? Je ni wewe ulikuwa ndugu wa Niceforus pale Ilala Iringa?
ReplyDeleteHongereni Kasambo's - Ilala Iringa.
Mdau Uholanzi
Nyukiiiiii! Aaaa Nyukiiiii! Hongera sana "NYUKIII" Najua Bwa Vice utakumbuka ni nani huyuu mliekua mkiitana hivi, hongera sana Bro kwa kuonesha njia nasi tutajitahidi kupita humohumo. Stive sina hofu nawe. Salamu kwa Raphael
ReplyDeleteNawakilisha
NYUKIIIIIIIII - UKEREWE
Thanks kwa baraka zenu nyote, mawasiliano: kasambo@yahoo.com
ReplyDeletefresh sana bro unawakilisha vyema Ilala yetu bwana hata walimu waliotufundisha wakati ule ahh watakuwa wanafurahi sana pale ilala primary. Safina K
ReplyDeleteSafi sana hayo ndo maendeleo. Steve sina shaka na wewe mambo kama hayo ni ya December this year utakuwa mzuuuuuuuuuka.
ReplyDeleteJamaa nilio nao hapa Mzumbe wanawatakia mafanikio nyie ambao mnaendelea na nondozzzzzzzzzz
Zakaria Swedi- Msc A&F 2009/2010student Mzumbe University
Ambele Mwafula Asante kwa Hongera zako wapi wewe dogo?
ReplyDelete