Home
Unlabelled
mama maria amjulia hali JK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpaka Mama wa Taifa kaenda Ikulu Nyie gomeni tu muone, kwanza hao TUCTA wanakula kwa jasho lenu tu tena wanakula mishahara mikubwa kuliko nyie, mi naona TUCTA ingekufa tu, Juzi ningekuwa na Mhe Rais pale Diamond ningelimuomba aifute TUCTA kabisa, wanakula makato yenu na wanataka kutuingiza pabaya, mkifukuzwa wao wataendelea na wafanyakazi wajao
ReplyDeleteHongera Mama Maria Nyerere kwa ujasiri ulionyesha wa kufunga safari hadi ikulu kumweleze mheshiwa Rais alivyoteleza kwenye hotuba yake aliyoitoa kwa wazee wa jiji. lugha ya mheshiwa Rais imeonyesha upotufu of the highest order. tunaamini busara zako mama zitarekebisha hali hii ilochafuka. waliomzunguka Rais ndo wanaompotosha na taarifa zisizo za ukweli na sasa heshima ya mheshimiwa imeingia doa jeusi.
ReplyDeleteMheshimiwa JK, utamaduni wetu Watanzania unatutaka tunaposalimia wakubwa zetu (au hata wadogo, inategemea na heshima na unyenyekevu ambao mtu anao) tuwape mkono wa kulia ila wakati huo huo tuwe tumeushikilia mkono huo wa kulia kwa mkono wa kushoto.
ReplyDeleteNakumbushia tu kwa wale wengine waliosahau pia. Najua wote tunajua.
Duh! mama ameona bora amtembelee Muungwana Ikulu, kujua muungwana ni mzima au la, maana aliyoyaongea na wazee wa ccm mmmhhhh.
ReplyDeleteRais wetu yupo juu! Tumefurahi sana kumuona Mama Nyerere! Tupo pamoja katika hili!
ReplyDeleteBaada ya Tukioo la kuteleza kwa ulimi wa Rais wangu JK mama nambari wani Tanganyika na Tanzania ameona ni bora akamtembelee kijana wake. kwa kweli anahitaji FARAJA toka kwa wazee hasa baada ya kazi ngumu ya kutoa KAULI TATA ambayo kinamna imelitingisha taifa kimya kimya. mama nakusihi umkumbushe kijana wako kwamba yapo mambo yanayo hitaji UVUMILIVU na mbinu tofauti katika utatuzi. Asifikiri wewe kuishi MWITONGO basi ndio uko mbali na ulimwengu. Na kabla hamja agana hakikisha AMEKUELEWA sawa sawa bila ya mashaka yoyote.
ReplyDeleteYaani wabongo kwa ku-conclude! Mama Maria wa watu kaja kumuunga muheshimiwa Rais wetu katika hili, kwani jitihada zilizopo mbele yetu za kukuza uchumi ni kubwa zaidi. Ile migomo ilikuwa inatupeleka pabaya!
ReplyDeleteNaona JK jasho linamtoka kwa kusikiliza maneno mazito toka kwa MAMA! Yaani imembidi hata kufungulia vifungo vya suti! Kaazi kweli kweli!!
ReplyDeleteNimesoma hii leo nikajiuliza hivi nchi zzetu tuna hoo kwli. Raisi w amarekani anachpata akiwa kipngozi ni nyumba for free lakini chakula anachokula na familia yake wanalipa. Na kama kuna wageni watumishi wakikaa muda zaidi yeye ndio analipa extra money ya hao watumishi..Mshahara wa raisi nkwa mwaka ni $400,000. Nchi yote hii inalipa tu laki nne na kinchi chetu kisicho na hela kingetakiwa kulipa raisi shilling tshs 400,000 tu kwa mwaka....kubalance mehesabu
ReplyDeleteHivi kwetu na kauchumi kwtu kweli tunafanya hivi? Raisi kujilipia chakula na kulipa watumishi wa ndani?
Hii yote imetokana na MAJUNGU!!! Laiti huo muda watanzania wanaoutumia kupika majungu wangeutumia ku-strategize on the economy, tungekuwa mbali sana. Muheshimiwa rais wetu ni victim tu wa Majungu ya watu! Waanzilishi wa haya majungu watafutwe na washughulikiwe barabara! Maana wanajulikana. Pili, hata hao walioanzisha hiyo migomo nao walikuwa wanatupeleka pabaya. Rais wetu na Mama Maria tupo pamoja.
ReplyDeleteHa ha haaaaaa! wabongo hamtaniwi? Kila kitu mnachukulia serious? Hata ka-mkwara ka kuwafanya mtulie wakati huu wa mkutano wa Uchumi? Chukulieni kiyo kama ilikuwa ni Changamsha Baraza!
ReplyDeleteWadau naona mama ameamua kwenda kumfunda tena kijana wake.
ReplyDeleteHili lipo wazi kabisa maana kijana ameteleza na kuonyesha kupenda ushabiki katika maamuzi mazito yanayogusa uma .
mama mweke sawa mwanao nchi imeshamshinda hii and wewe na mwalimu muliitoa mbali kwa kazi kubwa , chama kinakufa.
Nchi inaelekea kwenye uchaguzi and ameanza kuleta ubabe mapema yote hii huyu mtu inawezekana anamalengo tofauti na chama awekwe sawa mapema na hao wanaomzunguka wanamwelekeza pabaya kiushabiki.
waungwana mama pia ni binadamu naye kaenda kulia na matatizo yake inawezekana system imemsahau posho zake kaona afuatilie kuliko kupiga simu tofauti ni kwamba mama ana access ya mojakwa moja hapitii kwa tucta
ReplyDeleteMazungumzo yalikuwa hivi:
ReplyDeleteJK: Mama shikamoo
Mama maria:Marahaba mwanangu.
JK: Karibu
Mama: Aksante
JK:Ulisikia ule mgoma wa wafanyakazi?
Mama:Ndio nimeusikia na ndicho kimenileta hapa, mie naona hao wafanyakazi wana haki kabisa kwani wanalipwa mshahara kidogo sana enzi za mwalimu mishahara ilikuwa ni midogo lakini ilikuwa inatosha na elimu ilikuwa ni bure pamoja na matibabu halafu kulikuwa hakuna MAFISADI PAPA kama waliopo sasa hivi ambao wanatafuna jasho la taifa na ndio wanaosababisha hata hawa wafanyakazi kugoma.
JK: Kweli Mama?
Mama:Ndio nikweli tupu nakushauri mafisadi wote wakubwa kuanzia EPA, RICHMOND,KAGODA,MEREMETA n.k wafikishwe mahakamani mara moja bila kujali kama inauhusiano na ROSTAM AU LOWASSA wapeleke wote mahakamani kama ulivyofanya kwa MRAMBA na YONA.
Halafu uone kama vijana watagoma tena.
JK: Nashukuru sana Mama nitalifanyia kazi ombi lako.
Mama:Aksante sana ila na wewe punguza safari zako za kwenda nje ya nchi.
Wadau mmeona RAIA MWEMA ya jana...RAIS KADANGANYWA!
ReplyDeleteJamaa alisema kwa confidence kubwa kabisa kwa viongozi wa TUCTA waliambia waende saa 4 wenyewe wakaenda saa8.
Barua ya mwaliko inaonyesha wameambiwa waende saa 8 na nusu. Halafu iliandikwa Tar 22. ikawa delivered and received tarehe 23 asubuhi!
Lakini TUCTA bado walienda kwa utii saa nane, mkutano ukafanyika asubuhi. Huu uswahili to the extreme, halafu wanamdanganya Mhashimiwa raisi about the timing. Thats damn Bad.
MKUU WA NCHI INABIDI TU AKUBALI MWENYEWE KWAMBA ALIKOSEA JINSI ALIVYOSEMA KWENYE HOTUBA YAKE. ALIKUWA NA MAMBO YA MSINGI KUONGELEA LAKINI ALICHANGANYA NA MENGINE YASIYOFAA KUTAMKWA NA MKUU WA NCHI.
ReplyDeleteHIVYO WAZEE WENYE BUSARA NA WANAOITAKIWA MEMA NCHI LAZIMA WATAMWELEZA KWAMBA ULITELEZA KIJANA WETU HAPO HAKUNA UBISHI
Mama Maria Hongera sana kujulia hali kijana wako, na kumpa pole na majukumu mazito aliyonayo. Mdau mmoja kasema kuhusu marekani matumizi ya Raisi, zungumza ulijualo na uwe na uhakika nalo mke wa Raisi Obama watu waliomzunguka tu wanaomhudumia yeye mshahara kwa mwezi ni $1,600,000.00 wachilia mbali yeye mamaa zake ngapi? Toa point ....
ReplyDeleteMimi sijui kama kutokuwa makini katika maandishi ni uzembe wa makatibu, makatibu muhtasi wa watu wa habari na mawasiliano na hao wanaozipitia kutoa go ahead taarifa ziende kwa umma.
ReplyDeleteHivi kweli hata walipokutana saa nne wakaona TUCTA hawajafika, hakuna aliyekumbuka kwamba tuliwaambia waje saa nane?
Jingine taarifa za kufunga barabara, nakala nimeiona zimesema barabara zitafungwa kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tatu na kuanzia saa tisa alasiri hadi saa moja jioni.
Hivi haya matani au nini?
Mnyarugusu
Bip up Mama umeonyesha ufahamu wa hali ya juu umethibitisha kwamba wewe ulikuwa na haki zote za kuwa mke wa Julius, nabii wa MUNGU kwa taifa la Tanzania. wazee wa DSM tena wengine wenye umri zaidi yako kwa uroho wao tu kupewa seti za dagaa waliishia kushangilia kwa kupiga makofi hata kwa mambo yasiyostahili kushangiliwa. hongera sana mama kwa kuwaadabisha waliojiita wazee wa dsm. umewafundisha darasa la busara. Aksante kwa kumuonya kijana wako.
ReplyDelete