KUNDI LA MAULIDI YA HOMU YA MTENDENI, ZANZIBAR, KIKITUMBUIZA USIKU W KUAMKIA LEO KATIKA SHEREHE YA KUZINDULIWA KWA HUDUMA ZA BENKI ZA KIISLAMU (SHARIAH BANKING SERVICES) NCHINI NA STANBIC BANK KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR.

Kwa video hii na nyingine kibao BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 06, 2010

    Nimewahi kuuliza na sikujibiwa kwa hiyo nauliza tena.

    Ni Mufti gani aliyepelekewa hiyo product ya benki ambayo inasemekana ni shariah compliant na kutoa fatwa kwamba kweli ina comply na sharia?


    Tusikubali juu juu kwamba hiyo Islamic Banking is sharia compliant kwa kupikiwa mpunga na maulid, lazima ikawe analysed na ma-Mufti kwanza.

    Hatutaki DECI nyingine tafadhali.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2010

    We Anony wa Thur May 06, 12:22:00AM Umechelewa kweli.Kuna Maulamaa kibao hapa wameifanyia kazi.Uliza vyema usije na ubishi tu kwanza anza kuuliza vyema.Nenda kuna maulamaa MUM wako na Elimu hii tukufu na ndio maana wajigamba Shariah-Compliant Bank.Usianze kuuliza eti Mufti gani?Njo uwekeze
    Nimewapenda hao Maustadh hapo juu, Viundwe vikundi vingine kuua Bongo Flava na Mipasho kuijenga jamii
    Magesa Hamis Majura
    magesah@hotmail.com

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2010

    wataaaanza maugaidfi yao hao jamaa tuwe makini saana !hawachelewi kutuleteaa baalaa zao hao shariaa nini ninyii?

    mdau shalom

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2010

    nimewapenda kweli hawa waimba kaswida wanamvuto kweli na wapendeza sana
    mdau canada

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2010

    naomba kuelimishwa. haya maulidi ya home asili yake wapi? nilipokuwa zanzibar tulikuwa tunayasikia tu lakini hatukuwahi kuyaona lakini siku hizi nimeziona video nyingi za hawa vijana.

    jee hii ni ibada au ni madhehebu gani? kuna tafauti gani ya hawa na dhikiri mbali ya kuwa dhikiri kukangua vifuwa?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2010

    mdau Thu May 06, 02:10:00 AM jina lako tu ulilijipachika linasema mengi na kwa uwazi. get out of your shelf and see the big picture. use your brain.

    usikae tu ukajificha mbele ya monitor na kuandika utumbo.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2010

    Jamani mbona watu wanahaha na kuchanganya issues? Ugaidi unatokea wapi tena? Au ndio narrow minded people? Ni kwamba benki zimeusoma utaratibu huu na kwa ku gundua super profit watakayopata, basi kila benki imekimbilia. Hakuna benki itakubali kujikita kwenye mfumo utaoiletea hasara hata siku moja, chunguzeni wajomba mtabaini. Ni ukweli kwamba dini imejotosheleza kila sekta, na itabaki hivyo.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2010

    We anon wa 02:10:00, Licha ya chuki zako, tutaendelea na imani zetu na benki zetu zisizotoza riba na kuwekeza kwenye pombe na nguruwe, if you don't like you can go and jump in a cess-pit. Hilo jina ulilojipa ... mbona wakati taifa lenu hilo la udhalimu lilpokuwa linawa-support makaburu dhidi ya Waafrika hamkusema kitu. Believe me YOU WILL ALWAYS BE A LOSER!!!!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2010


    Anony Thu May 06, 04:44:00 PM naomba unieleweshe hii kitu inafanyaje kazi mpaka kunakuwa hakuna hasara. Na kwa nini unasema mifumo mingine ina hasara?

    muulizaji

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2010

    jamani tuwe wakweli hii bank sawa ya kiislamu ila riba ipo ila haitwi riba kuna bank charges badala ya kuita interest,ni sawa nakusema,binadamu siku zote wanafiki tu,tusijifanye twampenda sana mungu wala nini unafikii tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...