Home
Unlabelled
mambo ya GADO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Du..!!, huwezi kulinganisha UK na kenya, Tazama ukomavu wa kisiasa ulioko UK. Kenya Kibaki aling'ang'ania madaraka kwa gharama ya damu za wakenya.
ReplyDeleteThe Kalija
we ano wa kwanza hujaipata mada hiyo, mwenzako anamaanisha waige ya marekani kumchagua mwenye asili ya kigeni kama wenyewe mambo yanawashinda.
ReplyDeleteNimeipenda sana ulivpopresenti
aise wewe ano wa kwanza hau elewi hiyo joke hata kidogo. by the way it is jaust a joke. elections za kenya na uingereza ni tofauti only that at the end of their elections hawa kujua nani awe mkuu wa nchi. kenya kulikuwa na rigging ya hali ya juu na uingereza hakuna aliyepata kura za kutosha inavyo takiwa na constitution ya huko.
ReplyDelete