Mkongwe John Kitime (shoto) akiwa na msanii mahiri mwenye ulemavu wa kutoona Anania Ngoliga kwenye shoo ya kila Jumamosi ya Njenje pale Salender Bridge club jijini Dar. Anania ameshatembea nchi nyingi duniani kuonesha kipaji chake kama video hiyo chini inavyoonesha.Pia BOFYA HAPA


Jamani Kitine, nimefurahi sana kusikia nyimbo na ubunifu unaofanywa na watanzania wenzangu. kweli mko juu sana na namshukuru Mungu kuwapa wenzetu uwezo mkubwa wa kufanya vitu, sasa nashindwa kuelewa kama kwa kukosa kiungo muhimu kama macho lakini mtu ana perform kwa kiasi hicho, mwambie kuwa Yesu akirudi kitu cha kwanza cha kumpa ni macho yake na atatuona wote. Mbarikiwe sana na nimefurahia sana and you have mada my day to be honest.
ReplyDeleteKaka huyo Anania huyo namkubali huyo Kaka.
ReplyDeleteHicho kichwa hicho Kaka,
Yaani pamoja na ulemavu huo huwa anaimba huyo na kupiga gitaa kama hana akili nzuri vile.
Big up sana Ananaia,
Kwa hiyo ina maana siku hizi ameacha kupiga Pale MERCURY kule Zenji au?
Anania bado yuko na bendi yake Zanzibar alitembelea tu Wananjenje.
ReplyDeleteMkongwe John Kitime miaka nenda rudi bado anatikisa katika fani ya mziki,tunakushukuru saana kwa mchango wako,huu utakuwa urithi mkubwa kwa kizazi kipya cha sasa na baadaye.
ReplyDeleteNilipokuwa kijana kulikuwepo na walemavu wa macho katika fani ya mziki wa Tanzania,lakini kipaji cha Annania ni cha kuzaliwa. Nawatakia maisha marefu ya afya njema kwa kuendeleza mchango wenu katika fani ya mziki wa Tanzania.
Mickey Jones