kuona video nyingine kibao: BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
mambo ya IB electronics ya shoppers plaza, dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
kuona video nyingine kibao: BOFYA HAPA
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
acha miyeyusho, orginal bongo!
ReplyDeleteKazi kweli kweli
ReplyDelete"orginal", kwa Kigiriki hili ni tusu kubwa sana.
ReplyDeleteAnkal, hivi unajua kwa nini makampuni ya utangazaji hayawezi kukupa kazi?
ReplyDeletemali za wahindi na waarabu
ReplyDeletesisi ni wateja
bongo tambarrrrrrrrrrraaaaaaaaarrrrrrrrrrreeeeeeeeeee
hahahahah kazi ipo bongo kumegeuka dampo la bidha za kichina na dubai.
ReplyDeleteninashukuru kwa maoni yako,ndiyo ni kweli kwamba vitu wingi ambayo tunavyo ni feki za kichina. kama ulivyo tamka,ujue china,thailand taiwan
ReplyDeletena india nakadhalika wanatengeneza bidha mbali mbali kwa mahitaji za nchi tofauti,vitu wingi vinavyo uzwa marekani,uingereza utazikuta zimeandikwa made in china,ni kwamba kila nchi ina kamati ya inspection of goods quality yani zichekiwe vitu viruhusiwe kuingia katika nchi zao kwa gradi maalum.china kwenyewe ukienda katika maduka zenye bidha quality nao wanauza kwa bei za juu.nia langu nikuleta vitu vinavyodumu na gredi za juu ili tuone mabadiliko za bidhaa