kuona video nyingine kibao: BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    acha miyeyusho, orginal bongo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    Kazi kweli kweli

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2010

    "orginal", kwa Kigiriki hili ni tusu kubwa sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2010

    Ankal, hivi unajua kwa nini makampuni ya utangazaji hayawezi kukupa kazi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 12, 2010

    mali za wahindi na waarabu
    sisi ni wateja
    bongo tambarrrrrrrrrrraaaaaaaaarrrrrrrrrrreeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2010

    hahahahah kazi ipo bongo kumegeuka dampo la bidha za kichina na dubai.

    ReplyDelete
  7. ib electronicsJune 01, 2011

    ninashukuru kwa maoni yako,ndiyo ni kweli kwamba vitu wingi ambayo tunavyo ni feki za kichina. kama ulivyo tamka,ujue china,thailand taiwan
    na india nakadhalika wanatengeneza bidha mbali mbali kwa mahitaji za nchi tofauti,vitu wingi vinavyo uzwa marekani,uingereza utazikuta zimeandikwa made in china,ni kwamba kila nchi ina kamati ya inspection of goods quality yani zichekiwe vitu viruhusiwe kuingia katika nchi zao kwa gradi maalum.china kwenyewe ukienda katika maduka zenye bidha quality nao wanauza kwa bei za juu.nia langu nikuleta vitu vinavyodumu na gredi za juu ili tuone mabadiliko za bidhaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...