MWALIMU WA TAASISI YA TEKNOLOJIA NA SAYANSI MBEYA ,BW DANIEL SIKONDE (KUSHOTO) AKITOA MAELEKEZO KWA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) JUU YA MOJA YA VIFAA VYA KUFUNDISHIA VILIVYOTOLEWA NA MAMLAKA HIYO, KWA VIFAA VILIVYOTOLEWA NA TEA VINA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 436.
MKURUGENZI MTENDAJI WA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA BIBI. ROSEMARY LULABUKA (KUSHOTO) AKIANGALIA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI UYOLE ILIYOPO JIJINI MBEYA WAKITUMIA VIFAA VYA MAABARA VILIVYOTOLEWA NA MAMLAKA YA ELIMU KWA SHULE HIYO, PAMOJA NA VIFAA HIVYO PIA MAMLAKA YA ELIMU ILITOA VITABU, KWA PAMOJA MSAADA HUO UNA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 16.
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI UYOLE YA JIJINI MBEYA WAKIONESHA VITABU VITABU VILIVYOSAIDIWA NA MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA), PAMOJA NA VITABU HIVYO TEA IMETOA VIFAA VYA MAABARA KWA SHULE HIYO, VIFAA VYOTE VINA THAMANI YA SHILINGI MILIONI 16.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 31, 2010

    mamlaka ya elimu tanzania (tea)imetoa msaada wa vifaa vya elimu ... msaada au wajibu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 01, 2010

    CCM OYEE, MAMLAKA IMETOA VITABU VYA ILANI YA CCM. HUO SI MSAADA BALI NI WAJIBU AMBAO UMETUMIA PESA ZA WALIPAKODI WA TANZANIA LABDA TU KAM VITABU HIVYO VIMENUNULIWA KWA PESA ZA MICHANGO YA WAFANYA KAZI WA MAMLAKA HIYO BASI UTAKUWA NI MSAADA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 01, 2010

    huyo mama ni MKURUGENZI MKUU and sio MKURUGENZI MTENDAJI

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 01, 2010

    Jamani mwandishi uwe unaangalia unachoandika. huyo mama ni MKURUGENZI MKUU na sio MKURUGENZI MTENDAJI kama ulivoandika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...