Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu ( wapili kutoka kushoto) akishika Mwenge wa Olimpiki Maalumu Kitaifa kuashiria kufuguliwa rasmi michezo ya 11 ya Kitafia , jana mjini hapa kwa ya wachezaji wenye ulamavu wa akili kutoka Mikoa 15 ya Tanzania Bara na Visiwani ( wa kwanza kushoto) ni Mwambata wa Ubalozi wa China hapa nchini anaye shughukila na Utamaduni, Liu Dong
Wachezaji wa timu ya Olimpiki maalumu kutoka Mkoa wa Kilimanjaro
Wachezaji wa timu ya Olimpiki maalumu kutoka Mkoa wa Arusha ikipita karibu na jumkwaa la mgeni rasmi jana ( hayupo pichani) wakati wa maandamano ya timu za mikoa mbalimbali kwa ajili ya mashindano ya kitaifa ya 11 katika viwanja vya Chuo Cha Ualimu Morogoro.
Baadhi ya wananchi pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mazoezi ya Manispaa ya Morogoro ambayo ipo karibu na Chuo Cha Ualimu cha Morogoro wakifuatilia kwa makini ufunguzi wa mashindano ya 11 ya kitaifa ya Olimpiki Maalumu kwa watu wenye ulemavu wa akili.
( Picha zote na John Nditi).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2010

    1: Ni jambo zuri kuwakumbuka hawa watu walio katika jamii kwani wamekua wakipewa kisogo kwa muda mrefu

    2: haw waandaaji hawajazingatia swala la Afya na Usalama kwa mtazamo wangu, najua wengine mtanipinga. Huwezi kuwasha huo mwenge harafu uunyanyue kwenye hayo maturubai ya plastiki, yakishika moto hapo atalaumiwa nani? kwanini hicho kitendo kisingefanyika sehemu isiyokua na viashiria vya hatari kama hiyo, nawakilisha

    kcc- Ukerewe

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2010

    Nawapongeza wadhamini wa mashindano haya. Hivi ndio vitu vya kusponsor kama unataka kusaidia jamii. Kuna wanafunzi wengine hawatasahau hii michezo maishani mwao na itaboost confidence zao sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...