Mabingwa wapya wa mchezo wa Pool,wakipata picha ya pamoja na Mgeni Rasmi Mh. Joel Bendera pamoja na Meneja wa Kilaji cha Safari Lager,Fimboh Buballah kati kati( katikati) mara tu baadaya ya kukabidhi zawadi zake kwa upande mwingine.
Muwakilishi toka IFM ambao waliweza kishika nafasi ya pili katika shindano la mchezo wa Pool lililomalizika usiku huu katika fukwe za Coco Beach.
Muwakilishi kwa timu ya ISW ambao walishika nafasi ya tatu nae akipokea mkwanja wake toka kwa mgeni rasmi,Mh, Joel Bendera
Meneja wa Bia ya Safari Lager,Fimbo Butallah akizunguza na wachezaji pamoja na wageni waalikwa waliofika katika fukwe ya Coco Beach kushuhudia fainali za mashindano ya mchezo wa Pool kwa wanafunzi wa elimu ya juu yaliyomalizika usiku.ambapo timu ya UDSM ndio iliyoweza pata ubingwa huo kwa mwaka huu.
Mgeni rasni katika Mashindano hayo,Mh Joel Bendera akiongea machache mbele ya wanahabari pamoja na wanafuzi washiriki waliofika katika Fukwe za Coco Beach.
mwali akiwa ametulia kabla ya kunyakuliwa na UDSM.
vijana wa THT wakiburudisha wadau
wachezaji wa timu ya Taifa ya Pool wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rarmi,meneja wa bia ya Safari Lager pamoja na viongoi wa juu wa TAPA.
raha ya ubingwa....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...