Home
Unlabelled
tamasha la waafrika lafana ugiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii ugiriki ina siri gani Mbona kila siku haipiti bila kuona habari zao?Tena wanaonekana wanainjoy na maisha yao. Napenda sana kuona watoto wao jinsi wanavyonawiri.Tutumieni mwaliko nasi tuje yaona laivu!!!!
ReplyDeletemdau wa hapo juu usijaribu kufikiri kuhusu greec ni nchi maskini na ambayo siku yoyote itafilisiwa kutokana na madeni na hali mbaya ya uchumi,ni bora ujifie zako tz kuliko kwenda kuteseka huko
ReplyDeletemdau wa pili bora ndugu ungelikaa kimya, hujui kinachoendelea ugiriki kabisa! juu ya matatizo yanayoikabili greece kwa sasa huwezi kufananisha na maisha ya mlala hoi tanzania kabisaaaaa!!!!!
ReplyDeletekama nchi masikini mbona watu wetu wanaonekana wana pasitaimu veri wel?Je wewe ulishawahi kuishi huko? Au ni katika wale wadau wanaopenda kupinga kila kizuri?Kama ningepata viza nigependa kuona hawa wenzetu wanavyoishi maana nishasikiastory za gudi taim toka kwa mabaharia waliowahi kkukaa nchi hiyo
ReplyDeletetTukubaliane Ulaya(EU) ni Ulaya(EU) tu na Greece ni mwanachama wa EU.
ReplyDeletesawa greece ina hali ngumu kiuchumi lakini maisha popote utakapo pata rizki yako(ajira)unaweza kuwa hapa bongo japokuwa ni nyumbani lakini mwanao akatembea pekupeku au usiweze hata kula yake sio kama naponda nyumbani lakini hiyo ndio hali halis ya mtanzania wa chini ni mashaka matupu,waacheni wachakalike na maisha acheni kuchonga kama huna cha kucomment kaa kimya
ReplyDeleteHao unaowaponda siku ukikutana nao kwao watakukaribisha chakula, kinywaji na hata kukufanyia mpango wa malazi kama vipi. Si vema kuwakashifu watu kwa hali zao za maisha (japo hata hujui hali zao). Kwani aliyekuambia tajiri siku zote ana furaha ni nani? Umelelewa namna gani wewe ndugu yetu? Hawajakuomba chakula unawatukana, na wakihitaji msaada wako si ndio utawakaanga nyama zao??? Tabia mbaya sana, acha hayo mambo ndugu yetu.
ReplyDeleteebwana eee wananikumbusha perea enzi zile mambo ya meli huko wanaenda mabaharia bwana.hah..hah..hah..,walio lala waache walale.
ReplyDeletesafi sana
ReplyDelete(ivi uko imani asa ni ipi?)
Wazungu wanasaidiana; si kama sisi. Ugiriki imepata msukosuko wa kiuchumi. Umoja wa nchi za Ulaya [eu] itaipa zaidi ya DOLLAR BILIONI 150!!! kwa awamu tatu ili ijikwamue. (u can b sure sehemu kubwa ya utajiri huo unatokana na wao kudhibiti uchumi wa dunia, hususan Afrika). Tuamke.
ReplyDelete