Waombolezaji wakiwa katika mazishi ya hayati Mwana K. Nassor
Hutba wakati wa mazishi
Mratibu akiangalia kinachofuata na chini ni baadhi ya waombolezaji
ASSALAM ALAYKUM
Ndugu Wapendwa Kwa niaba Ya Familia ya Bi Mwana, Tunatowa shukurani zetu za dhati
kwenu nyote Mliochangia na Mliohudhuria kwa hali na Mali Na Kwa yote Mazuri Yaliyotendeka wakati wa msiba wa kipenzi chetu Bi Mwana k. Nassor.

Vilevile Tunamshukuru M/Mungu Sana kwa Imani zenu na Ihsani zenu kwa Mshikamano wenu Mwanzo mpaka Mwisho katika Kumzika Marehemu Mama Yetu,na tunaomba mshikamano huu tuuwendeleze hivihivi ,Mungu Aendelee Kutupa roho za imani na upendo kwa sote. Na Tunawaomba Radhi kama kuna Usumbufu wowote ule uliotokea.

Na kwa wale wanaotaka kutowa salamu zao
za Rambirambi unaweza kuwapigia simu
Alex Rashad 832-537-1749
Eddy Rashad 781-608-0665
Kassim Khelef 617- 372-2566
Hafidh Kombo 203-558-1073
Samha Matar 857-249-0401






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2010

    ankal noma ile mbaya wakati msiba umeshafanyika leo hii unaweka hii post.
    noma acha hizo watu tulikuwa tunatafuta news hii umetubania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...