IBADA YA KISWAHILI READING/LONDON INAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU ITAKAYOONGOZWA NA MCHUNGAJI DANIEL KULOLA KUTOKA TANZANIA

SIKU YA IJUMAA TAREHE 7 MAY 2010
KUANZIA SAA 11 JIONI (5PM) MPAKA SAA 22:00 USIKU.

KATIKA UKUMBI WA
HEXHAM COMMUNITY,
1a BAMBURGH CLOSE
WHITLEY
READING
RG2 7UD

JUMAMOSI SAA 4 ASUBUHI MPAKA 8.00 MCHANA PALE

ODDFELLOWS HALL,
118B OXFORD ROAD
READING
RG1 7NQ

JUMAMOSI SAA 10 JIONI MCHUNGAJI KULOLA ATAKUWA LONDON
KATIKA KANISA LA ST. ANNES AND AGNES LONDON
GRESHAM STREET
EC2V 7BX

KWA TRAIN KITUO CHA KARIBU NI ST. PAUL STATION (CENTRAL LINE)

TAFADHALI MKARIBISHE NA MWINGINE.

KWA MAWASILIANO ZAIDI

TEL;07956522072/ MARY KIUNSI 07554013595 READING ALJANES 07900008211/ DAVIS BANDUKA 07908010344

WAGONJWA NA WENYE SHIDA MBALI MBALI WATAOMBEWA.

"BWANA AKASEMA, HAKIKA NIMEYAONA MATESO YA WATU WANGU WALIOKO MISRI, NAMI NIMESIKIA KILIO CHAO, NAYAJUA MAUMIVU YAKO"

MUNGU ANAHITAJI UTOKE - NJOO MAANA NI WAKATI WA KUTOKA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...