Umelalamikiwa kwa kuvunja nyumba na kujenga maghorofa bila kuzingatia huduma za majitaka na majisafi, huku pia ukilinda uvamizi wa vuiwanja vya micjhezo, maeneo ya wazi na ufugaji wanuyama mijini.
Changamoto hiyo iilitolewa jana na Shirika la Makazi la Umoja wa Mataifa (UN-Habitat) Kanda ya Afrika na Arabuni, Alioune Badiane, katika mkutano wa uendelezaji na uimarishaji Jiji la Dar es Salaam, ulioshirikisha wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi.
Habari kamili



SASA HAPO PARKING ZITAKUWA WAPI NA MAENEO YA WATOTO KUCHEZA DAH SASA TUTAKUWA KAMA INDIA.
ReplyDeleteKiswahili KIGUMU!
ReplyDeleteMimi alinisikitisha Mstahiki Meya wa Dar aliposifu na kusema eti Kariakoo siku hizi panapendeza na zamani kulikuwa na vibanda tu!!Kaaz kwelkwel
ReplyDeleteChe
Mimi sipendi hawa jamaa wanavyoezeka hawa! Staili za kizamani zamani tu...mambo mazuri mazuri hadi tutoke nje ya nchi bwana! Nyie architects hebu kuweni creative bwana!
ReplyDelete