Mdau Alfred Aichi Minja (kulia) amekuwa mwanafunzi bora katika Chuo andamizi cha Chuo Kikuu cha Mysore(Basuv Somani College) India katika Shahada ya Kwanza ya Biashara (Bcom)mwaka 2009.

Alfred alitunukiwa zawadi mbili. Ya kwanza ni kuwa bora na ya pili ni kuiwakilisha vyema katika makongamano mbali ya kielimu baina ya vyuo mbali mbali Mysore. Sherehe Hii ya Somani Sambram hufanyika kila mwaka na kuwatuza wanafunzi waliofanya vizuri.
Mdau Alfred akiwa na mwalimu wake pamoja na washindi wa pili na wa tatu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. Hongera sana mkuu. Umenifurahisha sana kijana. Hakika juhudi zako zimezaa matunda. Wana Mysore wote tumefurahi sana na tunakupongeza sana. Tunakutakia kila la heri na Mungu akubariki.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 16, 2010

    Hongera mdau njoo sasa bongo utumikie wananchi

    ReplyDelete
  3. Mdau K.VMay 16, 2010

    Hey Hongera sana Kijana.... nnavyowajua wahindi kama umeweza kuwa Topper we ni noma.... Big up.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 16, 2010

    Nilifikiri Wadosi ni Mabingwa wa Masomo ya Biashara!Kumbe Wabongo wamo!
    Ukweli ni kuwa Watu wa bara la Asia ni wataalamu wa IT na Masomo ya Biashara

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 16, 2010

    asante umetuwakilisha vema

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 16, 2010

    Kaka hongera sana, umeonyesha kuwa waTz wanaweza na umewapa moyo wabongo walioko huko kuwa wahindi wanaweza kushindwa tu. mtangulize Mungu sana na Nakutakia maisha yenye mafanikio! Stay Focused n B Responsible, thats the keyz of life!

    Mdau Geneva, Switzerland

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 16, 2010

    hongera sana kijana. Tunaweza safi sana. nyie ndo watu mnaotupa moyo na matumaini kuwa sisi ni noma, kuwapita wahindi inahitaji juhudi sana na umezionesha, safi sana


    Jack, New York, Usa.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 16, 2010

    kumbe kuna wahindi wanamabusha nlikuwa sijui

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 16, 2010

    hongera saaanaaaaaaa uko juu kimaukweliii si ile ya blah blah noo ya ukweliiiiiiii hongera mwanangueeeeeeeee hongeraa
    mdau canada

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 16, 2010

    Pongezi Alfred and all the best! Hemedi.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 16, 2010

    bro fanya urudi zako kabla hawajakufanyia.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 16, 2010

    Keep it up Alfred, we are grateful!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 16, 2010

    Hi, Big up kaka hongera sana mungu akujalie baadaya kufaulu safi sana sasa ifanyie kazi taaluma yako ili ufaidike chapa kazi kweli hii ndio siri pekee ya mafanikio, unaweza jiamini utafika pazuri sana unapotamani all the best matanzania mwenzangu.

    CHef Issa ( Around the world)
    www.activechef.blogspot.com

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 16, 2010

    kweli wachaga wanajua bishara aisee minja hongera sana bwashee

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 16, 2010

    Hongera kijana Huyo mwalimu ni Busha au kipande cha nyoka???

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 17, 2010

    Wachagga bwana shule inapanda sana, lakini wakipewa madaraka watu wanalalamika kwamba wanapendelewa, sasa huu ni mfano mdogo tu kuwashinda wahindi sio mchezo tena kwao India .
    Hongera sana bro Minja

    ReplyDelete
  17. PETER NALITOLELAMay 17, 2010

    I AM ARE VERY SMART TOO WHEN ARE MUZUMBE UNIVERSITY WITH THE DEGREES OF ECONOMICS AND PURE SCIENCE MATHEMATICS BUT ARE NEVER GET ATTENTION BUT HIM THERE JUST ONE TEST IS EVERYBODY PRAISES HIM THAT HE ARE SMART FOR JUST ONE TEST. ALSO HOW DO WE KNEW IF THAT PICTURES IS JUST FAMILY PICTURES THAT ALFRED IS GOING THERE TO VISITING THESE FAMILY IN THE WEEK END LONG SO HE TOOK A PICTURES WHY NOT PUTTING THE RESULTS OF THE EXAMINATIONS SO THAT WE CAN IMPROVE THE TRUTHS, PEOPLE ON HERE ARE VERY EASY TO BE FAKED BECAUSE IT DIDN`T SHOWED ANYTHING OF ALFRED GOT A WINNER OR ANYTHING EXCEPT HIMSELVES SAY IS WINNING EXAMINATIONS YOU KNOW WHAT I WAS SAYING? LET HIMSELF IMPROVE TO US THAT HE ARE WON THE EXAMINATION OF THAT TEST, NOT ONLY EMPT HANDS OF WORDS. THAT ARE ALL FOR ME I REPRESENT MY COMMENTS SIR MICHUZI OF ALL BLOGS!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 17, 2010

    wewe wa kichwa maji hata mzumbe hujuhi ku spell then una sema wewe ni very smart !! English yenyewe tu broken.Piga na wewe picha utume humu watu wakupongeze kama ndo unachotaka!!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 17, 2010

    kusema ukweli mi nimesoma India hadi kuwashinda wa hindi si kitu kidogo. Hata mimi ni kichwa sana na walimu walikuwa wanajua hila walikuwa wana nila sana marks. ki hindi hindi mswahili ukipewa pass tu wewe shukuru mungu !!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 17, 2010

    wachanga wana akili sana. Aswa kwenye mambo ya biashara. Tuna hitaji raisi mchaga sasa !!!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 17, 2010

    Wewe Peter achaaa WIVU WAKO UTAKUFA KWA WIVU. Na hiyoi english yako mbovu.
    Huyo kijana alisoma Kenya, na alipomaliza masomo yake Kenya was the best student katika mwaka wao. Kwa hiyo acha wivu wako, he is a very serious young man.
    Hongera sana Alfred endelea kujituma utafika mbali.
    Mungu akubariki sana

    ReplyDelete
  22. Congrats Comred......''the only way around is through'' be grateful n dnt forget GOD.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 17, 2010

    Kwa kweli huyo jamaa namfahamu sana, tangia msingi kule kenya alikuwa best na naona mpaka huku bado anangara tu... safi sana kijana wangu
    Peter hayo co maneno ya busara, kwanza haujasoma mzumbe coz nakufahamu sana, hujui jinsi ya kutoa hata Caps Lock na hicho kiingereza mwalimu mkuu wa mzumbe akiona umeandika atakusue mahakamani...
    Hongera Sana Kijana Alfred na Umtangulize Mungu

    James Justine
    Scotland

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 17, 2010

    Wachaga Oye.. Mnajua maana ya Aichi jamani??? The meaning is THE MAN WHO KNOWS.
    Huyu kijana ni noma na nimemkubali sana, peter acha wivu we mtoto wa kiume. Jitahidi na wewe utatoka siku mmoja.
    Mdau Pretoria

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 17, 2010

    Hii ni nzuri unastahili pongezi.
    big up bro.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 17, 2010

    Ni kweli hiyo maana ya aichi, kijana jina lako umeliwakilisha vizuri sana. Mungu Akuongoze.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 17, 2010

    Puuuuuuuuu.. Mkuuuuu safi sana kijana wangu, Mzee wa KuDownload a.k.a Downloader, bado hilo jina mysore lipo???????? Safi sana mzee. Nakusubiria Mkuu Huuku Bongo
    Rumisha Maliki

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 27, 2010

    Hi Alfred!!! This is your sister, Regina. Congratulations dear brother. We are all very proud of you. God bless you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...