jina lake kamili ni costa siboka lakini kwa mashabiki wake anafahamika kama mfalme siboka kwa uwezo wake mkubwa wa kulisakata libeneke la kanda ya ziwaMfalme Siboka katika mashindano ya Balimi Boat Race yanayodhaminiwa na TBL kila mwaka kanda ya ziwa
Mfalme Siboka na wanenguaji wake



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2010

    Mhola ahene wa kong'wise? Amayoka galehe? Pandaga toje ng'wana wane!

    Michuzi, wapi video? Tuwekee video ya huyu bwana, we gotta reminisce these great days we are missing man!

    Adios ahora, profitez de vos petits moments vert!

    Enjoy all those who can speak Sukuma, Swahili, English, Spanish, French and Italian, sio lazima muelewe kila kitu wadau! Nasubiri lugha chafu kutoka kwa wale wanaotawaliwa na shetwain.

    Delle parti interessate, Canada.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2010

    Duh self employmeny ina kazi kweli kweli. Kaza buti na totoz za kanda ya ziwa mzee mzima.

    ReplyDelete
  3. Costa jamani ni mpambanaji wa ukweeli, katika miaka ya mid 90's alikuwa jirani yangu, mitaa ya shaaban robert, nakumbuka kipindi hicho alishindania mambo ya Mr. Guinness na alishinda. Sasa amehamia kwenye fani ya muziki! He is mpambanaji!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2010

    Michuzi mimi naomba kuuliza swali ambalo lipo nje ya hii mada.

    Kuna bendi moja ya mchiriku zamani miaka ya 1990 ilikuwa inaitwa Hisani(Gari kubwa). Walikuwa na album moja ilitamba sana na ilikuwa na nyimbo kama "uko wapi mama","Ali Mwinyi","Mola wangu" na nyingine nyingi sana....nimejaribu kutafuta kila sehemu kwenye internet nimekosa.Je michuzi unaweza kunisaidia kupata hiyo album? nipo tayari kununua pia.Ahsante

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2010

    Pongezi msanii. (1)Nawaomba wamiliki wa vituo vya runinga (tv) na sehemu za burudani wawa-promote wasanii wa fani za asilia na jadi badal ya muziki wa gheto za USA na ndomboloo za Congo (za watu waliojichubua ngozi mpaka wanatisha). (2) Wanamuziki wetu lazima watumie hazina zetu za asili ili kubuni sound mpya, kama wanavyofanya kina Youssou Ndour wa Senegal na wasanii wa Mali. Wahenga walisema, Mdharau kwao (asili) ni mtumwa. Kombo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2010

    Costa tingisha,Uko juu....,Mwanza tuko juu....,Wakerewe wako juu.....!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 20, 2010

    kanda ya ziwa ina makabila mengi weweee!!

    sema wa kabila gani hasa au ngoma zipi anazipiga sana!!
    kuendeleza jadi ni kitu kizuri sana

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 20, 2010

    Mbona hajitundiki ktk Youtube.com tuweze kumpromoti huyu ndugu Costa?

    Ankal, mbonyeze kuhusu suala hili ili apate 'michuzieffect' ktk Youtube.com

    Mdau
    Honolulu, Visiwani Pasifiki.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...