
VITABU HIVYO VINAPATIKANA MADUKA YAFUATAYO;
1. Novel Idea- City Centre na Slip way
2. Soma Book Cafe- Regent Estate
3. Mwenge Best book shop - Mwenge
4. Scholarstica book shop -- Mlimani city
5. Salamander book shop --- City centre
6. General book Seller -- City Centre
7. Dar es salaam Printers -- City centre
8. DUP -- University of Dar es salaam
Arusha
Kase store
Moshi
Mwenge best book shop
Tarime/ Musoma
Gimunta Champion Traders Ltd
Iringa
Tanzania Literature Centre
Pole sana ndugu yangu. Kwa kifupi ajali hiyo ilitokana na ugumu wa mioyo ya watanzania. Na kutojali maisha yao. Wa TZ hujali mali kuliko binadamu. Ile meli isingezama kama usimamizi ungekuwepo hasa kwa upande wa upakiaji mizigo na abiria, matengenezo sahihi ya meli hiyo na uelewa wa kutosha wa wanaohusika.Laiti kama kungekuwapo mtu mwenye uelewa wa kutosha katika sakata zima la uokoaji, ile meli isingetobolewa. Inasikitisha, hata sasa bado uelewa wa uokoaji ktk kila janga haujakaa pahala pake. Mola awalaze pema waliopoteza maisha
ReplyDeleteRIP.
ReplyDeleteajabu kitabu hiki hakionekani kupatikana Bukoba wala mwanza kwenye eneo la tukio. sijui nini hii kwamba wahusika wakuu (wakazi wa mwz na bkb) hawahitaji kitabu hiki??
ReplyDeleteKiwekeni kitabu Amazon.com
ReplyDeleteMdau Overseas
NDUGU YANGU,UPO SAHIHI SANA NAJUA AJALI HII WAHUSIKA WAKUU NI NDUGU ZANGU NA WATANI ZANGU WA KAGERA.MZIGO UPO NJIANI KAMA UJUAVYO HAYA MAMBO YANAHITAJI MIKATABA PIA,KAMA KUNA MTU AMBAE UNADHANI ANALO DUKA NA ANAWEZA AKAWA AJENTI WETU AWASILIANE NA PUBLISHER WANGU E&D PUBLISHERS DSM-MWANDISHI
ReplyDeletekama mdau hapo juu
ReplyDeleteMWANZA NA BUKOBA JE??
kwani maktaba ya taifa haiwezekani,au bookshops kibao ziko??
poleni sana