Home
Unlabelled
miss lushoto mambo yameiva
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kwa nini msifanye mambo ya maana kama kununua madawati kwenye shule za msingi???
ReplyDeleteKununua Madawati kwani umeambiwa kwamba wasambaa wanakaa chini madarasani? mbao kibao zinazalishwa Lushoto
ReplyDeleteAnon wa pili, usitake kutuambia kuwa kila shule ina madawati ama madawati ya kutosha huko Lushoto? Ina maana ni kweli kuwa hamna wanafunzi wa primary wanaokaa chini? Kuzalisha mbao sio hoja.
ReplyDeleteKwanini uaindikie mate na wino upo?
ReplyDeleteTembelea Lushoto uone mwenyewe.Asilimia kama 70 wanazalisha mbao wenyewe mashuleni anayetakiwa ni fundi tu.
Jingine nimesahau Soko la Kariakoo halikuitwa soko la mboga na na matunda kutoka Lushoto for nothing
Anonymous wakwanza.. Hawana shda ya madawat.. Na isitoshe changamoto la elimu lipo juu sana. Hata híi ni sehemu ya elimu.. Karibu
ReplyDelete