Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2010

    kwa nini msifanye mambo ya maana kama kununua madawati kwenye shule za msingi???

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2010

    Kununua Madawati kwani umeambiwa kwamba wasambaa wanakaa chini madarasani? mbao kibao zinazalishwa Lushoto

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2010

    Anon wa pili, usitake kutuambia kuwa kila shule ina madawati ama madawati ya kutosha huko Lushoto? Ina maana ni kweli kuwa hamna wanafunzi wa primary wanaokaa chini? Kuzalisha mbao sio hoja.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2010

    Kwanini uaindikie mate na wino upo?
    Tembelea Lushoto uone mwenyewe.Asilimia kama 70 wanazalisha mbao wenyewe mashuleni anayetakiwa ni fundi tu.
    Jingine nimesahau Soko la Kariakoo halikuitwa soko la mboga na na matunda kutoka Lushoto for nothing

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2010

    Anonymous wakwanza.. Hawana shda ya madawat.. Na isitoshe changamoto la elimu lipo juu sana. Hata híi ni sehemu ya elimu.. Karibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...