Rais wa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo (anayepunga mkono) akiwasili kwenye ukumbi wa mikutano katika Hotel ya Ivoire mjini Abidjan leo kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa 45 wa ADB unaoendelea
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Donald Kaberuka akitoa hotuba ya utangulizi kabla Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo ajafungua mkutano wa 45 wa Benki hiyo unaoendele mjini Abidjan

Rais wa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo akifungua rasmi jana mkutano wa 45 wa Benki ya Maendeleo ya Afrika mjini Abidjan. Picha na Vincent Tiganya wa MAELEZO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...