( Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii).
( Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii).
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Big up wafugaji. Ni mwanzo mzuri maana mmenyanyaswa sana. Kuunda umoja wenu ndiyo nguzo pekee itayoweza kuwatetetea hasa inapokuja kwenye manyanyaso. Maana wakulima wanapendelewa sana na mfugaji anaonekana kama hana faida yoyote katika nchi hii. Wakati waheshimiwa hao hao wanategemea nyama na maziwa ya ng'ombe wa kienyeji. Tunapowanyanyasa na kuwapiga vita wafugaji nadhani sio sahihi. Cha muhimu ni kuwaelimisha jinsi ya ufugaji bora na sio kuwapiga vita. Hongereni sana wafugaji wa Morogoro. Naomba wafugaji wengine wote nchi nzima waige mfano huo na waunde umoja wao ikiwa ni pamoja na vyama vya ushirika vya wafugaji wa wanyama wa kienyeji hususan Ng'ombe.
ReplyDeleteMmasai Halisi