Picha na Anna Itenda - MAELEZO
Picha na Anna Itenda - MAELEZO
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hon. Tsvangirai welcome to our Camp! We are beginning to love you too! Same as we love His Excellency Mugabe!
ReplyDeleteBaba yangu Adadi jamani amevaa tai sare kidogo na kiongozi wa Zimbabwe.Saaaafi
ReplyDeleteAdadi Rajabu mzee wa kazi keep it up my bro no one else cool guy and intelligent no one else!
ReplyDeleteHapa mbona kama protokali haikuzingatiwa!! Yaani Waziri Mkuu analakiwa na Balozi wake au ndio tuko upande wa Mugabe?
ReplyDeleteChe
mh, upinzani ulivyokuwa mkali zimbabwe mwakajuzi mataifaya ulaya na wazungu walio kuwa zimbabwe wakibebwa na upinzani walitaka zimbabwe wavamiwe kivita kupitia botswana kwa kuwa wakulima wengi na wananchi walikuwa na cholera, Mugabe akawaambia basi cholera hakuna msilete vita, kelele ikapigwa eti anabisha cholera hakuna, waliomuelewa walielewa anasema nini
ReplyDeleteVIP room looks better now, naona pamepigwa msasa kwa ajili ya huu mkutano, palikuwa pana suck and musty kwa kweli, bora wamepaangalia
ReplyDelete