Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mh. Morgan Tsvangirai (katikati) akitoka nje ya chumba maalum cha viongozi (VIP) kilichopo Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere usiku wa kuamkia leo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe Mh. Adadi Rajabu. Rais wa Zimbabwe Mh. Robert Mugabe anatarajiwa pia kuhudhuria mkutano huo.
Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai akisalimiana na Balozi wa Zimbabwe nchini Tanzania Jenerali Mstaafu(RTD Gen.) Chimonyo usiku wa kuamkia leo katika chumba maalum cha viongozi ( VIP) kilichoko Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.
Picha na Anna Itenda - MAELEZO


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2010

    Hon. Tsvangirai welcome to our Camp! We are beginning to love you too! Same as we love His Excellency Mugabe!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2010

    Baba yangu Adadi jamani amevaa tai sare kidogo na kiongozi wa Zimbabwe.Saaaafi

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    Adadi Rajabu mzee wa kazi keep it up my bro no one else cool guy and intelligent no one else!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2010

    Hapa mbona kama protokali haikuzingatiwa!! Yaani Waziri Mkuu analakiwa na Balozi wake au ndio tuko upande wa Mugabe?

    Che

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2010

    mh, upinzani ulivyokuwa mkali zimbabwe mwakajuzi mataifaya ulaya na wazungu walio kuwa zimbabwe wakibebwa na upinzani walitaka zimbabwe wavamiwe kivita kupitia botswana kwa kuwa wakulima wengi na wananchi walikuwa na cholera, Mugabe akawaambia basi cholera hakuna msilete vita, kelele ikapigwa eti anabisha cholera hakuna, waliomuelewa walielewa anasema nini

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2010

    VIP room looks better now, naona pamepigwa msasa kwa ajili ya huu mkutano, palikuwa pana suck and musty kwa kweli, bora wamepaangalia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...