Ndugu,Jamaa na Marafiki, Tunasikitika kuwajulisha Msiba wa Mama Yake Alex Rshad, Eddy Rashad, Hafidh,na Samha Matar (Bi Mwana ) Mwana Nassor Khalef ameshatangulia mbele ya haki.
Mungu amlaze mahali Pema peponi (Amin)
Taratibu na mipango ya kuzika zinaendelea Nyumbani kwake Samha 208 Westville, Dorchester MA
Tunawaomba ndugu zetu mtusaidie kuchangia fedha kwa ajili ya kuwezesha Gharama za kuhifadhi mwili, , na gharama zingine ambazo kwa kawaida huja na haya matatizo.
Mnaweza kuwasilia na Alex Rashad 832-537-1749
Eddy Rashad 718-608-0665
Kassim Khelef 617372-2566

Pole sana myra .
ReplyDeleteYaani siwezi kuamini kuwa BiMwana ametutoka. Tena juzi nilikuwa namwulizia. Nitamkumbuka sana. Poleni wanafamilia.
ReplyDeleteMola ailaze roho yake mahala pema peponi. AMINA.
Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiuun. Mola amrehem Mama yetu mpendwa na amlaze mahala pema peponi - Amiin.
ReplyDeleteMwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi daima ... Amen.
ReplyDeleteWebmaster,
NewEnglandUmoja
Allah amlaze mahali pema mama yetu!
ReplyDelete