Marehemu Bimwana Nassor

Ndugu,Jamaa na Marafiki, Tunasikitika kuwajulisha Msiba wa Mama Yake Alex Rshad, Eddy Rashad, Hafidh,na Samha Matar (Bi Mwana ) Mwana Nassor Khalef ameshatangulia mbele ya haki.
Mungu amlaze mahali Pema peponi (Amin)

Taratibu na mipango ya kuzika zinaendelea Nyumbani kwake Samha 208 Westville, Dorchester MA

Tunawaomba ndugu zetu mtusaidie kuchangia fedha kwa ajili ya kuwezesha Gharama za kuhifadhi mwili, , na gharama zingine ambazo kwa kawaida huja na haya matatizo.

Mnaweza kuwasilia na Alex Rashad 832-537-1749

Eddy Rashad 718-608-0665

Kassim Khelef 617372-2566

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2010

    Pole sana myra .

    ReplyDelete
  2. Yaani siwezi kuamini kuwa BiMwana ametutoka. Tena juzi nilikuwa namwulizia. Nitamkumbuka sana. Poleni wanafamilia.

    Mola ailaze roho yake mahala pema peponi. AMINA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2010

    Inna Lillah Wainna Ilayhi Rajiuun. Mola amrehem Mama yetu mpendwa na amlaze mahala pema peponi - Amiin.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 05, 2010

    Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi daima ... Amen.

    Webmaster,
    NewEnglandUmoja

    ReplyDelete
  5. Allah amlaze mahali pema mama yetu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...