Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2010

    Here we go again. What happened? I hope she is well and alive somewhere just needed a break.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2010

    Mwenyezi Mungu amlinde popote pale alipo.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2010

    hivi ni Mmari au Mmary?? manake kama kumtafuta itakuwa tabu kama majina yamechapishwa vibaya. Kupotea marekani ni swala la kuogopa kuna kipindi kinaitwa "americas most wanted" ingetakiwa waposti hii habari manake watu wanatizama ni wengi mno. nategemea mzima. Tushirikiane kumtafuta ndugu yetu jamani. Nikija bongo nitamtafuta kamichu manake hii blog inatuletea mambo mengi,hongera sana.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2010

    Jamani naomba tupewa taarifa maalumu kuhusu huyu mtanzania mwenzetu, mara ya mwisho alikuwa waapi? mnapo sema Los Angeles naomba mtuambie sehemu gani haswa, kuna vituo vingi Los Angeles jamani..Los Angeles ni mji mkubwa sana tena kupita kiasi. Na pia alikuwa anakaa na watanzania gani au kujihusisha na watanzania gani? Na alikuwa ameolewa ama? anawatoto ama? na kama anawatoto watoto wako waapi? na mumuwe yu wapi pia isijekuwa mumewe anajua habari zaidi. Na je mmewasiliana na mumuwe, majirani? what happened then?? Mtanzania kupotea nchi za watu yanitia uchungu sana. Mungu amrejeshe salama salimini. Amin

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2010

    Kapotea au kazamia??

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2010

    Naona huyo Balozi wa huko Umoja wa mataifa ni mmoja wa mabalozi ambao wanaojua nini wanachotakikana wakifanye (wanajua Agenda zao). Wana wakilisha nchi, pamoja na kujihusisha na masuala ya utatuaji wa matatizo ya watu wa jamii ya kwao. Pia naona Balozi wa wa Tanzania U.N una wasaidizi wanaoelewa Agenda zao.

    Nadhani mtakubaliana nami kuwa, siyo kila tatizo ambalo utatuzi wake unahitaji pesa, hili likiwa ni moja wapo.

    Nikisha kuyasema hayo, I pray to God kuwa where-abouts za ndugu yetu Carol zitajulikana, na hatimae atapatikana, kama ambavyo mwenzetu Sherry inavyosemekana kuwa amekwisha julikana ni wapi alipo na kwamba yupo bukheri wa afya.

    Amen.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2010

    Wewe mdau wa hapo juu kipindi cha "America's most wanted" ni kwa ajili ya majambazi na wahalifu na sio "missing persons".

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2010

    Mdau wa nne (4), ...

    Taratibu jamani haya, tutaonana wabaya haya ! Lol!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2010

    mdau wa Sat May 22, 08:08:00 AM, umeuliza Na pia alikuwa anakaa na watanzania gani au kujihusisha na watanzania gani?

    labda tuelimishe kwani kuna watanzania wa aina ngapi?

    ReplyDelete
  10. Mtoa NenoMay 22, 2010

    Naamini katika kuomba,sitaacha kuomba hata katika hili,haya tuombe" Ee Mungu uliyesikia kilio cha watanzania katika kumtafuta dada yetu Sherry kule ujerumani.Twashukuru amepatikana,twaja mbele yako tena utusaidie kumtafuta dada yetu carol ambaye haijulikani aliko,twaomba ukauhifadhi uhai wake,asiwe ameangukia kwenye mikono ya watu wauaji,inua watu watakao toa ushirikiano katika kumtafuta,hakuna jambo lililogumu lakukushinda.Tunaamini utakuwa nasi hata katika hili ,walinde watanzani wote walioko nchi za nje waondokewe na mikasa mizito inayowaandama kila siku.Aminaaaaa."

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2010

    Jamani hajatoweka dada yetu,atakuwa bado yupo nasi, ni mazingara ya ulimwengu haswa wakati huu wa hali mbaya ya uchumi,tumwombee kwa Mungu usiku na mchana.
    Mickey Jones

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2010

    Caroline, tunamwomba Mola akulinde na uweze kupatikana popote uliko. Abdul-Malik.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2010

    Maskini mtoto, natumaini mama yake atapatikana akiwa mzima na buheri wa afya.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2010

    Ndugu zangu Watanzania lazima kuna mtu atakuwa anafununu fulani za huyu dada yetu alie potea. Swali ni hili kwanini imechukua muda mrefu kutoa taarifa kwa kupotea kwa Mtanzania mwezetu...?

    ReplyDelete
  15. Huyu dada niliwahi kuongea nae mwaka jana na mwaka huu! kwa mara ya mwisho nilimuona facebook mwaka huu sikumbuki ni mwezi gani, ila nadhani atakua mzima na alikua anaishi na ndugu yake au dadayake, aliejifungua mtoto mwaka jana, I hop ni mzima atakua sehemu kajibana

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2010

    Anoymous wa Sat May 22, 08:08:00 AM si imeandikwa hapo kabisaa kwamba mara ya mwisho kuonekana ni W 88th block in LA city? pia imesemwa ana mtoto mmoja wa miaka mitatu.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 30, 2010

    Caroline hajazamia LA nimeona kwene internet alikua mwanafunzihabari zote ziko online

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...