Tunapenda kuwatangazia Wadau wote waishio Ukerewe Kuwa uzinduzi maalum wa filamu ya £ovely Gamble Utafanyika Tarehe 29.5.10 mjini Kusoma. Tukio hili ni maalum kwa ajili ya kuchangia yatima walioathirika na Ukimwi Tanzania pamoja na jumuia yetu ya Tanzania hapa Ukerewe.
Anuani ni hio chini
WYCLIFFE VENUE, 233 KINGS ROAD, READING, RG1 4LS.
SAA 12 Jioni MPAKA SAA 5NA NUSU Usiku.

Kutakuwa na Chakula, vinywaji pamoja na burudani ya Mziki na Vichekesho. Nyote mnakaribishwa kufika kwenu ndio kufanikisha shughuli yetu na kuwezesha kuchangia maendeleo na kuitangaza nchi yetu ughaibuni.
DRESS CODE: LADIES: DRESS SEXY & GENTS: SMART MUSIC: LIVE MUSIC, AFRO BEAT, BONGO FLAVOR, HIP HOP, MDUARA AND RNB
Tiketi zinapatikana Kiingilio VIP £10.00 General £5.00. Kutoka bure
Unaweza kupata ticket kupitia wakala wetu hapo chini:

SWIFT FREIGHTS UK (TZUK) – LONDON 0208 801 9800 AFRICANS IN LONDON TV (TINA) – LONDON MOUDY – LONDON 078884441222 KAYE MARIE – LEICESTER 0794665430 BARAKA - LEICESTER 07909260435 BONGO FLAVOUR – READING 0118 958 5878 Vincent Bar – 0118 959 3130 TA– READING 07865673756 Frank- 07865594576
More INFO:urbanpulsecreative@googlemail.com http://www.youtube.com/watch?v=zNltrl096hU
www.wix.com/effeort111/urbanpulse-tmh
Tunatanguliza shukrani kwa mchango wako
Urban Pulse Creative

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2010

    Huyu jamaaa anehojiwa wa wapi anatoa tiketi mfukoni kana kwamba anampa mtu sigara bwana.....jirekebishe mzee siku ingine andaa hata bahasha tuu ya kiainaa.....sawa naona ata huyo dada kashangaa apo si kwa jiri ya kupewa tiketi bali tiketi ilipo tokea

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2010

    Hii ni mifano mibaya sana katika jamii, hawa si wale waliovuana nguo maclub, sasa jamani nani atakaesikiliza massage yake hata kama nzuri, tabia yake inaifanya inaonekana mbaya. Anatuaibisha sana hapa UK wanawake wa TZ as whole. Nadhani na hiyo movie yao imebeba watu hao hao wasio na maana yoyote katika jamii.
    TIME WEATERS, hbu nipishe mie Michuzi nipite.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2010

    mdau wa hapo juu mi nakubaliana na wewe we ukiicheki iyo clip kuanzia dk ya 5:07 mpaka dk 7:08 mi nilikuwa nacheka tu...frank umezidi usanii manake iyo tiketi inatolewa kama unavyo mpa mtu pipi au karanga....imebidi huyo dada ashangae kidogo.kweli Bongo itaendelea kuwa tambarale.
    lakini mmefanya kazi nzuri,vp sasa hiyo filamu lini mtaizundua huku ujerumani ili hata sisi wadau tupate kuiona
    Mdau -Dresden.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2010

    kidogo nimeshindwa kuelewa...huyo dada anaehoji anasema its a movie u got to watch...then suddenly in turn out hata hajaiona movie yenyewe ...duh haya mambo ya kijiaibisha sasa jamani...ajipange vizuri..if u havnt seen the film then talk on a third party basis yaani like 'unasikia tht its gud...au thts what critics say'..or sming like tht

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2010

    hahaha my £10 is gonna help somebody out there hahaha

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2010

    kweliiii kweliiii?anony unadai movie youte imebeba watu wasio na maana katika jamiii.?Inatisha sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2010

    Kaka Michuzi wote hao ni I WANNA BE.

    ReplyDelete
  8. WIVU TU NYOTE NYIE, KAMA MNGEKUWA WATU WENYE MADEAL YA MAANA MSINGEWAPONDA WENZENU WANAOANZA AU WANAOJARIBU. WATU KM NINYI NDIO MNAORUDISHA MAENDELEO NYUMA, KAZI KUSENGENYA TU WENZENU WKT NINYI MKO TU HUKO NYUMA(BACK BITERS) ACHENI HIZO NDUGU ZANGU TUTIANE MOYO

    ReplyDelete
  9. bwana Frank na Bi Tina, songeni mbele. hao wanaowaponda ndio watakaokuja kwenu siku moja kuomba vibarua. hakuna mtu anaeanzia juu, wote tunaanzia chini na kupanda juu.hizo comment ni kudiscourage tu, Mungu na atusaidie wabongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...