Please forward to everyone you know.
Her family needs your help finding her.
PLEASE HELP US BY FORWARDING THIS EMAIL UNTIL THIS REACHES A WORLD-WIDE AUDIENCE AND JEWEL IS RETURNED HOME SAFELY
GOD FIRST, If this was your daughter you would forward it.
"I can do all things through christ who strengthens me"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 38 mpaka sasa

  1. Mume Wangu, Mikanjuni TangaMay 30, 2010

    Mliopotelewa na mtoto poleni sana kwa hofu na mashaka makubwa mnayopata juu ya kipenzi chenu.
    Nawashauri mtoe maelezo ya kutosha yanayomuhusu mtoto kwa lugha inayoeleweka na wasomaji wengi wa Blog hii ya Jamii( KIMATUMBI)ili nasi tuweze kusaidia pale inapowezekana.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 30, 2010

    poleni sana kwa kupotelewa na mtoto ni hudhuni saana, sasa jamani hamjasema hata mtoto anaishi wapi ili angalao watu wa hiyo sehemu waanze na huko mlipo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 30, 2010

    STOP BEATING AROUND THE BUSH: GIVE MORE VITAL INFORMATION LIKE: NAME (JEWEL) WHERE, WHEN, CONTACT INFO etc. I know you are under stress, but time is all that you have.
    Blackmpio

    ReplyDelete
  4. Mtakaheri SinashariMay 30, 2010

    Poleni. Ila hii habari haina maelezo mengine ya ziada, zaidi ya kwamba mtoto kapotea. Ilibidi iandikwe, kapoteaje? kapotea wapi? anaishi wapi? ni mtoto wa nani? mara ya mwisho alivaa nguo za rangi gani? Akipatikana tuwasiliane na nani? Vitu kama hivyo. Kwa jinsi tangazo lilivyokaa ni rahisi watu kulipuuza na kudhani kuwa ni 'scam' kumbe mtoto kapotea kweli. Ni hayo tu ndugu zangu.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 30, 2010

    sasa mbona haueleweki au mimi ndo sielewi?
    amepotea lini?
    wapi?
    ilikuaje?
    alikua anaishi wapi?
    jina lake kamili?
    anamatatizo yoyote ya akili au afya?au umemuuza wewe?
    vile vile kiingilishi wengine hatujui andika lugha yetu mama ,lugha tamu na inayotuunganisha watu wote,lugha ambayo ilitumika katika mapambano na ukoloni, lugha....
    pole

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 30, 2010

    Can you please provide more details? kapotea wapi? when was she last seen? in which country? was she alone? etc. etc is her name Jewel? Such information would help a lot
    I feel for the family

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 30, 2010

    mbona picha hiii inatolewa sehemu tofauti haina maelezo amepotelea wapi dar arush or nje ya nchi na wazazi wake wanaishi wapi ? au alikwua wapi kipindi amepotea? jamani !!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 30, 2010

    Poor thing! such a pretty tot!May the angels of mercy,love and direction guide her home to her loving family!Amen

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 30, 2010

    MTOTO AMEPOTEA WAPI? MBONA HAMNA MAELEZO AMEPOTEA ALIKUWA KIISHI WAPI NA WAZAZI WAKE NI RAHISI KUWEZA KUSAIDIA BAADA YA KUELEWA ALIKOPOTEA HUKO NDIKO TUTAKAPOANZIA KUMTAFUTA HUENDA AKAWA HUKO HAYUKO TENA LAKINI BILA KUFANYA HIVYO HATUJUI TUANZIE WAPI IRINGA,DAR,NACHINGWEA AU ULAYA TAFADHALI HILI MUHIMU KWANI NA SISI TUNA WATOTO TUNAELEWA UCHUNGU WAKE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 30, 2010

    Hakuna contact yoyote..huyu mtoto ni wa nani.wewe ni nani..?weka tangazo vizuri...anza na familia ya fulani...inatangaza kwamba mtoto wetu ....poleni sana

    ReplyDelete
  11. Mdau, BloomsburyMay 30, 2010

    Mungu wangu!! Machozi yamenitoka. Lakini Michuzi hujatuambia huyu mtoto amepotea katika mji gani, nchi gani ili kama kuna walioko karibu wawe macho wakimuona watoe taarifa.

    Pole sana kwa familia yake, haswa wazazi. Sina cha kuwasaidia zaidi ya sala kumuombea mtoto huko aliko Mungu amfunike amuweke salama na nyie mpate tulizo.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 30, 2010

    msijali wanafamilia mtoto atappatikana kwa uwezo wa mungu,ila nadhani mngetoa maelezo kwamba mtoto kapotelea wapi,maana hilo tangazo liko vague.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 30, 2010

    amepotelea wapi? Poleni sana. Tafadhalini wekeni taarifa za alipokuwa mara ya mwisho nafikiri inaweza kusaidia sana.

    Poleni sana kwa kweli na Mungu awape nguvu na amani

    GJK

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 30, 2010

    OMG jamani! The Baby is sooooo Sweeet! I hope atapatikana tu katika jina la Yesu aliye hai, wa Nazareth; kwani Mungu ni yule yule wa jana, leo na hata milele.

    Wazazi wa mtoto aliyepotea poleni sana. Tuzidishe sala, atapatikana tu. Mungu yule yule wa miujiza, aliyeitenganisha bahari ya shamu, aliyefufua wafu, na aliyefanya miujiza mingine mingi kama hiyo, atamrejesha.

    Poleni sana. Pia wazazi tusiwaache watoto peke yao sana, hasa kama mmetoka kuburudika, ama kama geti / milango iko wazi. Jaribuni kuwajulisha polisi pia.

    She will be in my prayers. Amen.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 30, 2010

    if you could provide some more info will help? where she leaves, last seen location....

    Lugalo

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 30, 2010

    pole sana mzazi wa mtoto lakini tunaomba jina na alipotelea wapi , lini na anaishi na wazazi wote? na wanaishi wapi? anapendelea kutembelea wapi.Wazazi wanaitwa wapi?

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 30, 2010

    Ehe jamani nimejisikia vibaya utadhani ni mwanangu, Mungu wangu.Kapotea lini na wapi?

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 30, 2010

    Poleni sana wazazi wenzangu. Kwa kweli dunia imeharibika. Hili wimbi la wizi wa watoto naona limeshamili. Mwenyezi Mungu anamsaidia mtoto huyu na atakuwa salama na hatimaye wazazi wake wataweza kumpata akiwa buheri wa afya. Naomba kwa kweli serikali wafanye kitu katika kukabiliana na wimbi la wizi wa watoto. Lakini pia mtoa tangazo angelitumia lugha yetu ya taifa ingeliweza kusaidia. Maana si wote kiinglishi kinapanda.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 30, 2010

    kama mnavyojua hii blog inatumiwa na watu tafauti around the world, sasa mtoto amepotea alikuwa yupo nchi gani tanzania, urope, asia amarica etc, ili tueweza kusaidia tunaomba mtueleze alikuwa nchi gani.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 30, 2010

    Tatizo hapo hamjaelezea Vizuri kapotelea wapi katika mji gani? vitu kama hivyo inakuwa vizuri. Kwa uwezo wa mwenyezimungu tunaomba alipo atizamwe vizuri akae vizuri watu wake wakaribu wampate arudi kwa anapopendwa zaidi tupo pamoja kama yoyote kamuona plzplzplz saidieni familia yake mkapeleke taharifa.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 30, 2010

    AMEPOTEA WAPI, MBONA HABARI NI NUSU NUSU! HII PICHA IKO KWENYE TAGGED NETWORK NI YA SIKU NYINGI SI DHANI KAMA INA UKWELI WOWOTE

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 30, 2010

    HABARI YA SHERRY IMEISHAJE, TUPENI HABARI JAMANI

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 30, 2010

    Tumia lugha inayosomwa na kufahamika na wengi wanaosoma blog hii.
    Pili hujafafanua mtoto kapotea wapi na wapi pa kuanzia maana unatuacha kwenye kiza

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 30, 2010

    who, where, how.....? Something is wrong here!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 30, 2010

    Maskini..nahope kako okey!!Maelezo hayajakamilika lakini coz hata hamjasema kwao wapi ili watu wakaribu wafahamu!

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 30, 2010

    Mbona hakuna maelezo yeyote amepotelea wapi. I mean nchi gani. Mara ya mwisho alionekana wapi etc etc

    Watoto wadogo kama hawa hufanana sana bila information zozote hatutaweza kusaidia chchote zaidi ya kutuma sala zetu kwa wazazi, marafiki na huko Jewel aliko I hope she is safe and well.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 30, 2010

    kaka michuzi naomba hii habari ikamilishwe.kapotelea wapi, umri gani, wazazi nk. hizi habari vipande hazisaidiii kabisa.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 31, 2010

    This is extremely sad news!

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 31, 2010

    Aubergine Nangai
    Aubergine Nangai

    C'est Toi, C'est Toi
    C'est Toi Ma Vie d'amour
    Vie d'amour
    Sourir Moi
    Sourir Moi
    Componela Kissi Bolingoooo

    Isolée, Isolée
    Isolée, Isolée
    Isoléeeeeee.

    Eputaha!

    May God keep JUWEL safe and sound, and may she be found. Amen.

    Such a Cutie.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 31, 2010

    Huyu wa bolingo naye ameungana na aliyepotelewa na mtoto . maana lugha hii kiboko.

    Labda aliyepotelewa amemuelewa . maana hapa kuna kunena kwa lugha.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 31, 2010

    This is poorly announced! Can the poster provides more detail of the kid and the residence? Kwa kimatumbi...Tangazo lina mapungufu. Je mleta tangazo anaweza kutuhabarisha zaidi kuhusu mtoto na makazi? Kwa kweli ni pigo mno. Nimevaa viatu vyake na kufunga macho nikifikiria wanangu watatu apotee mmoja. Mungu pitisha mbali.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 31, 2010

    Jamani kabebii kazuri,hv hata hao waliomchukua wanajiskiaje?au yawezekana yupo kwa moja ya ndugu zenu?tatizo info haijakaa sawa?Ankal fanya makeke hiyo taarifa iwe kamili jamani.Polen wazazi,na nyie mliomchukua huyo mtoto subirin cha moto

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 31, 2010

    halafu na wewe ankal michu kutubandikia tangazo lisilo na kichwa wala miguu ndo tukueleweje??

    na kiswahili ni lugha malidhawa

    agrrrrrr

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 31, 2010

    Kwa kweli tupepi maelezo ya kuaosha kuhusiana na mtoto mji alipokuwa ama alikozoea kwenda itaraisish sana kazi na inaweza saidia mkumbusha mtu kama amemuona mahala popote ila kwa hapo ina kuwa kama haina maana japo mtakuwa na kuchanganyikiw ila kwa hali iyo mna poteza wenyewe mtoto sasa wekeni maelezo yaliyokamilika tusaidiane
    mwisho mungu awape faraja kwa kipindi hiki kigumu!

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 31, 2010

    heeee!! jamani, hichi kitoto nakifahamu yarabi, mama yake ana salon maeneo ya kijitonyama kama unaelekea Africa Sana, njia ya polisi mabatini. mara nyingi kanakua hapo salon, kazuri, kajanja sana na kanongea sana na kila mteja. mungu wangu! kapotea vipi jamani. hata jina lake nalijua ila kwa usalama sitasema maana naona wahusika hawajasema. hata picha hii kapigia hapo salon. wanauza pia magauni ya harusi. Please report the baby as soon as possible if you happen to see her. poleni sana wana familia japo hamjasema alipotea katika mazingira ya namna gani.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 31, 2010

    Oh My God,
    Michuzi hawa watu naamini wameisha changanyikiwa. Najua uchungu wa mtoto wasiliano nao wakupe detail za kutosha.ili upost information hizi. Inauma sana.

    Mungu ni mkuu na watoto ni Malaika, alisema acheni watoto waje kwangu. Naamini Mungu atamlina mtoto huyu na watu wenye hira,na DAMU YA YESU KRISTO ITAMFUNIKA NA SHETANI ATASHINDWA. ROHO MTAKATIFU E MALAIKA MUONGOZE MTOTO MDOGO HUYU KURUDI NYUMBANI NA SALAMA.
    MUNGU JINA LITUKUZWE.

    ReplyDelete
  37. AnonymousMay 31, 2010

    Michuzi nimeingia kuangalia kuwa hii ni true story au ni hoax nanikakuta hii ni party true party hoax...Hii habari imeanza kutambaa toka 2006...

    Mimi naingiaga snopes.com huko ndio wanaweka habari zinazokwenda viral kuangalia ukweli wake...


    Our reseach indicates that 3-year-old Jewel Strong of Morrow, Ga., went missing Sunday, May 28th, 2006after she and her 18-year-old cousin drifted on a raft out of the kiddie pool area over a dip in the jetty and into the pass, witnesses reported to authorities. They fell off the raft and although the teenager from Marianna was rescued by a passing boater, Jewel was never found.

    According to the News Herald in Panama City, FL, the U.S. Coast Guard suspended the search June 1st, 2006 for the body of 3-year-old Jewel Strong who disappeared near St. Andrews State Park’s west jetty.

    The Bay County Sheriff’s Office, however, continued the search Wednesday, May 31st, 2006 with a helicopter and patrol boat, but the body was never recovered.

    For a full report, click here Jewel is Missing

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 31, 2010

    HEY! I'M MISSING TOO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...