Uwapo Roma, kuwa kama Waroma: Waziri Mkuu na Mai waifu wake Mama Tunu Pinda wakiwa ziarani kijiji cha Ilongero wilaya ya Singida. Walikuwa ziarani kijijni hapo ambapo Mh. Pinda alifungua darasa la kidato cha tano la Shule ya Illongero Secondary .


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2010

    Waziri Mkuu anaonekana ni mtu wa kujiheshimu sana. Mungu ambariki

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2010

    Nampenda sana Waziri Mkuu Pinda na Mkewe pia Mungu awabariki. Nadhani Mhe. Ni kiongozi mzuri...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...