Mkurugenzi wa kampuni ya Aggrey & Clifford, Bw. Rashid Tenga akisisitiza jambo wakati hafla fupi iliyofanyika leo jijini Dar es Salam, leo kutangaza kuungana kibiashara na kampuni ya Push Mobile Media inayotoa huduma za kiteknolojia kupitia zimu za mkononi. Kulia ni Bw. Meneja Masoko wa Push Mobile, Brian Waluchio.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2010

    zimu za mikononi? well well, wanapatikanaje haya mazimu anyway?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2010

    Anyway, I'll quote him, "baba zetu wametuambia tuungane, na wao ndio vibopa, hivyo tumelazimika. So, tunafanya hii for PR only, ila kuna mambo tunayanyoosha bado."

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 12, 2010

    vijana wa siku hizi wanasura nzuri na vichwa vinafanya kazi kweli. Mungu awalinde na gonjwa hili..

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 12, 2010

    Rasheed, how old are you baby? Are you of the age of majority as far as social mingling is concerned?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2010

    Wote watoto wa baba hawa....

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2010

    Jamani tuwe na mawazo chanya, haya mambo ya watoto wa baba au wa mama hayajengi na hayahusiki hapa, whether the age is of majority or minority is not an issue. Kuna watu wangapi ambao wana hizo mnazoita majority age na hawajaweza kufanya wanachoanzisha Rashid na Brian? Rashid and Brian keep it up !!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2010

    You it's funny how sis kama wabongo we find it so hard to genuinely complement young, ambitous, smart and hard working citizens of this nation. It's like as if we want people to fail and when they do come up with a good thing we are the first ones to hate on us. Trust me if this was a foreign company doing this, there would not be a single comment meaning that is what we expect and are comfortable with. Wa Tanzania wenzangu wenye mtazamo finyu na hila zisizo na msingi, amkane la sivyo mtabaki mkisema ovyo wakati wenzenu wanafanya mambo makubwa na kuendeleza nchi yetu. Mshaachwa na basi, jitahidini japo mlikute kituo kijacho au hata likimbizeni angalau sio kukaa na kusema aaah basi lenyewe mkweche na halina mbio wakati wewe uko nyuma umekalia matako!! AMKENI, FANYENI KAZI NA ACHENI USWAHILI!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2010

    Myself I am very proud for these young men. I am researcher in corporate business, I have had opportunity to see many companies around Africa where founders, directors, key managers are young people. This is very good catalyst of development in Tanzania. What is important is to know not every person can establish his/her own business but those few people how can do will provide employment to other and pay taxes to the government that can be used for general social development.

    Remember the companies you are working for today, were established in the same way. Afterall very few people ask themselves who established the when get employed in the company, what matters to is what they get as salary and other benefits.

    Keep it up young men.

    ReplyDelete
  9. rasheed congrats and keep it up,
    ishu ni kutengeneza pesa tu. ikishapatikana hakuna cha majority au minority. let them talk.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2010

    Push Mobile Mko wapi?
    Naomba mnipigie simu 0754299752 nina kazi ya kuwapa!!

    ReplyDelete
  11. KalikaliMay 13, 2010

    Take it easy - comments nyingine zinalenga kuchekesha. Kama wewe huna humour zikaukie. Mambo yote yakiwa serious ktk blog hii wengine tutaacha kuitembelea.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2010

    Hongereni sana vijana, ninyi wekeni macho yenu mbele tu msigeuke nyuma na Mungu awatangulie. Waliolala msiwaamshe, usingizi ukiwaishia watazinduka na kutafuta nafasi zao. Sijui watazikuta!!!. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Jamani!!!!!!Mh.....

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 13, 2010

    Huwa sielewi kwa nini watu wenye maisha ya shida au watoto wa "masikini" huwa wanaumia sana kuona watoto wa "matajiri" wakifanya mambo! Utadhani hao watoto wa matajiri wamepewa hizi kazi na deals bila kuwa na akili kichwani! Baba zao si walijikomboa kutoka katika Umasikini unadhani kwa ajili ya nani? ya wewe na baba yako aliyekimbia Umande? Acheni visa, tupendane na kujaliana mema. Kama una maisha magumu ni yako, jikomboe... nenda kamuone Muajiri Mkuu :-) Na wewe si baba yako wa Taifa!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 13, 2010

    Aise kweli sisi watanzania tuna chuki binafsi.... Jiulizeni.... Mnataka nini?? Vijana wakifanya vizuri... Mnaponda.. Wakiwa vilaza... Mnaponda.. Ndo nini sasa?? Acheni chuki tuwape hawa vijana hongera zao, haishe... Kama baba zao wame wasaidia... Hata mimi ningikua na hela ningi msaidia mtoto wangu, as lond as his determined... Acheni chuki watanzania....

    ReplyDelete
  15. You women out there..leave Rashid alone..he is of age and happily married... msione vinaelea ..vimeundwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...