Nakaaya Sumari akihurubia katika harakati zake za jamii
Na Woinde Shizza
wa Globu ya Jamii
WAKATI vuguvugu la uchaguzi mkuu likiendelea kushika kasi nchini mwanamuziki wa maarufu wa kizazi kipya nchini,Nakaaya Sumari ameamua kujitosa katika kinyang”anyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia chama cha demokarisia na maendeleo(Chadema) kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo mjini Arusha.
Nakaaya ambaye ni katibu mhamasishaji wa baraza la vijana wa Chadema wilayani Arusha alichukua fomu ya kuwania kiti hicho juzi katika ofisi za chama hicho zilizopo maneeo ya Esso jengo la Meru Plaza mjini Arusha.
Akiwa ameongozana na mwenyekiti wa vijana wa Chadema wilaya ya Arsuha.Exaud Mamuya sanjari na katibu wa vijana,Arnold Kamnde,mgombea huyo alichukua fomu ya kuwania kiti hicho majira ya saa 3;30 asubuhi katika ofisi hizo.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania kiti hicho Nakaaya alisema ya kuwa binafsi anahisi ya kuwa nafasi ya yeye kuwa mwakilishi wa wanawake wa mkoa wa Arusha katika bunge la jamhuri nchini kupitia chadema mkoani Arusha umewadia.
Nakaaya alisema ya kuwa lengo kubwa lililomsukuma kuwania nafasi hiyo ni kutokana na uchungu alionao hususani mateso wanayopata wakinamama katika masusla ya afya ya uzazi katika huku akihaidi kusimamia masula ya afya ya uzazi kwa wakianamama nchini.
“nahisi muda umefika wa kutenda ninayoyahubiri siku zote,nataka nikasimamie matatizo ya uzazi kwa wakinamama hili linanipa uchungu katika maisha yangu siku zote”
“nataka nikawawakilishe wnawake wa mkoa wa Arusha kupitia chama changu nina imani nitashinda nafasi hii kwasababu ninajiamini, hivyo naomba mniunge mkono wanawake’alisema Nakaaya
Awali akimkabidhi fomu ya kuwania nafsi hiyo katibu wa Chadema wilayani Arusha,Bakari Kasembe aliwataka wanawake wote wa mkoa wa Arusha kupitia chama hicho kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi hiyo.
Kasembe alisistiza ya kuwa awali chama chao hakikuwa na uwakilishi wa kiti hicho mkoani Arusha katika bunge la jamhuri nchini lakini wakati huu wamejipanga kutoa viti vitatu na kiti cha ubunge wa Arusha mjini.
Tayari joto la kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia chama hicho limeanza kushika kasi ambapo hadi sasa tayari wagombea wawili wameshajitokeza kuwania kiti hicho ambao ni Magreth Olotu na Joyce Muya.

I dont think this is a good idea to her, she does have that charisma. She better concentrate, use that energy and resourses on musick industry. Jicho alompiga huyo dada aliyekaa hapo linaeleza kila kitu.
ReplyDeleteAll in all, Gudluck.
Duh!!!!! na mimi nagombea
ReplyDeleteKwa mara ya kwanza mbunge atatoa album.
ReplyDeletebajeti ndani ya album featuring Rais.
Anony hapo juu umesema kweli tupu! ili kwenda bungeni lazima uwe na nia ya kusaidia watu, na sio kupeleka usanii mjengoni!!
ReplyDeleteNAKUSIFU SANA DADA.WEWE UMEONYESHA UKWELI.UMEONYESHA SIO MNAFIKI.WENGINE WAMEVAA NGUO ZA CHAMA FULANI KWA UNAFIKI ILA WEWE UNAPENDA KWELI KUSAIDIA WANANCHI.SIO WASANII WENGINE NI PESA INAWASUMBUA WALA SIO KUWAONYESHA WATU UKWELI KAMA NI CHAMA KIPI SASA HIVI NI ANGALAU.MUNGU AKUBARIKI DADA.
ReplyDeleteMDAU USA
Big up dada keep on usihofu kitu mungu yu nawe hadi mwisho
ReplyDeleteooh politician this politician that kumbe na yeye humo humo, dada imba nyimbo siasa hazikufai
ReplyDeletenaakaya, hongera sana, mpenzi,,, yaani nimefoli in love na wewe, na us bloga, namchukia mashaka sana, yaani simpendi kweli, na akiingia tu kwenye siasa, tunaanzisha ka blogu ketu kumtoa nishai, hana adabu, mami umependeza kama kawa, endelea, tu ubunge utapata, siyo tupo, nikija bongo tukutane level 8 kmempinsiki. kila la kheri
ReplyDeleteyellobone baby (h-towni)
mpaka sasa tumewasikia wadau wawili hapa wanagombea ubunge mwaka huu, US Bloga na Nakaaya.
ReplyDeleteTunamsubiri na Mashaka ajitangaze.
makubwaaaaa
ReplyDeletenajutaaaaaaaaaaaaaaaaaa
AMINIAAAAAAAAAAAA@ NKAYA UR FRIEND UNGEEND CCM UNGENIUDHI
ReplyDeleteSawa kabisa na hongera sana!
ReplyDeleteLakini ujuwe kabisa NIDO bungeni mwiko!
A way to Go...Congratulations
ReplyDeleteLazima tuwaondoe mafisadi wote...lakini jina la baba kama naye alikua mmoja wa wafisadi au...Hili jina sijui nimelisikia wapi vile
badilisha na mavazi dada. siasa na ujana haviendani.
ReplyDeletenadhani inabidi abadili namna anavyovaa, kuonyesha kifua chake namna hiyo haitomsaidia kwa watu kuwa yuko serious, na unless anataka kujipatia hicho kitu kwa kutumia her sexuality, she better cover up a bit.
ReplyDeleteah hha "Miss Politician" ah ahah kaazi kweli kweli!
ReplyDeleteMama sasa hilo nyonyo bungeni jamani!
I wish you the best, but remember your song and live it!
thanks nakaya for your spirit keep it up ili iwe changamoto for young girls who need change in this lovely country ambayo imekuwa hijacked na mizee isiyochoka na mawazo yao ambayo yamelala ukifanikiwa mama nitakuomba jambo moja tu pls usafiri wa wanafunzi jibu litoke wapi? shule nyingi za kata zimefunguliwa lakini hajafikiri hao watoto wataenda vipi shule.
ReplyDeleteAll the best.
ReplyDeleteTutakutana Bungeni Mola akipenda.
(US Blogger)
this is ridiculous ,we ANONY WA HTOWN , how can you even say I hate MASHAKA DO YOU HAVE ANY CLUE OF HOW AND WHAT HE DOES FOR THOSE IN NEED, YOU ARE BEYOND IGNORANCE,AND REALLY CANT EVEN BLAME YOUR EMPTY BRAIN.WHAT HAVE YOU PERSONALLY DONE TO MAKE THE WORLD A BETTER PLACE???????????
ReplyDeleteFREE KNOWLEDGE: a word HATE should be omitted in your vocabs it reflects such shallowness in you character
YOU AS A WOMAN HAS AN OBLIGATION TO APPLAUSE ANY WOMAN ESP. BLACK WHO STANDS UP FOR SOMETHING POSITIVE. IT IS HOW WE AS WOMEN TODAY GOT TO WORK OUTSIDES OUR HOMES,GOT TO SIT IN OFFICES,UNIVERSITIES---. AND GOT OUR NEEDS REPRESENTED AS CITIZENS AS OPPOSE TO 2ND CLASS CITIZENS. YOU HAVE TO KNOW THE HISTORY TO APPRECIATE THE PRESENT.
NAKAYA, I KNOW IT IS INSIDE YOU,KEEP UP THE GOOD HEAD,WHEN POSSIBLE FIND TIME TO ATTAIN MORE KNOWLEDGE I HAVE LISTENED TO YOU BEFORE, YOU ARE WELL ROUNDED JUST BUILD FROM IT WE ALL NEED MORE,
YOU WILL DO WONDERS.
LOVE T.T.
Hayo ma-apple vp mheshimiwa!? jifunze basi kukaa kiheshimiwa!
ReplyDelete