





Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hii tuzo waliyopokea ni hiyo hiyo moja, ama kila siku wanapewa tuzo nyingine tofauti?
ReplyDeleteMaana sasa imekuwa too much, unatufanya tukumbukie zile habari za vimeo! Vikizidi ni Mno!
Au kwa vile wanajamii hawajawapongeza? ... KWA NIABA YA GLOBU YA JAMII, WATANZANIA WOTE NA KILA KIUMBE KILICHOPO CHINI YA MBINGU, NACHUKUA FURSA HII KUWAPONGEZA NDOVU SPECIAL MALT KWA KUPEWA TUZO YA DHAHABU! PONGEZI HIZI NAZITOA X 100 (MARA MIA MOJA)! HONGERENI SANA!
Pia msisahau na upande wa pili wa shilingi, yaani, MARKETING STARTEGY!
HONGERENI SANA, SANA! Kama ikiwezekana pia wakatoe tangazo kwenye vyombo ya habari vya kitaifa na kimataifa.
• VIJANA 20 BILLIONEAS WA KITANZANIA
ReplyDelete1. DR. US BLOGGER TRILLIONI 50
2. HASHEEM THABEET BILLIONI 7
3. LADY JAYDEE BILLIONI 7
4. STIVINI KANUMBA BILLIONI 4
5. Chidi benzi 4 bILLION
6. DIAMOND BILLION 4
7. PROFESA JAY BILLIONI 3.5
8. MARLOW BILLIONI 3.4
9. KINJE NGOMBALE MWIRU TRILLION 17
10. WEMA SEPETU BILLIONI 3.3
11. CHIDI BENZI BILLIONI 3.2
12. ISSA MISUPU BILLIONI 3.0
13. MWAMVITA MAKAMBA BILLIONI 2.9
14. MANGE KIMAMBI BILLIONI 2.8
15. DINA MARIOS BILLIONI 2.7
16. MILLEN MAGESE BILLIONI 2.5
17. ERIC SHIGONGO BILLIONI 2.4
18. MATONYA |Afande sele MILLIONI 300
19. MH. NAAKYA SUMARI MILLIONI 17
20. JACK PEMBA -----KAFULIA
21. MPISHI WA NDOVU NA SHELUKINDO 10BILLIONI
22. NABII YOHANA MASHAKA LAKI 2
23.KELVIN TWISA BILLION 4
24.PETER NALITOLELA BILLION 3
25.CYNTHIA MASASO 2 BILLION
26. NABII TITO BILLION 5
27. GARDNER HABASH BILLION 3
28.SIR. JUJMA NATURE MILLION 100
29. FIDELINE IRANGA BILLION 15
30 MBONIE MASIMBA BILLION 9
**********************
Mdau wa Tue Jun 01, 12:00:00 AM, acha bangi za kuvutia chooni. Tena wewe utakuwa Nalitolela.....Hovyooo.
ReplyDeleteheeee weweee mashaka nabii laki 2 na 12 elufu tasilimu.narekebisha
ReplyDeleteSasa, si mlijua mnachukua ya kwanza, then mbona mkakaa nyuma namna hiyo???? Ama kweli! Halafu mbona hiyo tuz(medali) haijaandikwa TBL wala Ndovu, au mtairudisha????
ReplyDeleteKwani nyie hajui kwamba hicho kilaji ndio mdhamini mkuu wa hii blog ya jamii? News zake lazima zitoka hapa. Mimi naomba waanza kuuza na huku Australia na NZ kama Tusker na Castle.
ReplyDeleteHiyo list ndio how much pple r worth au??
ReplyDeleteOyaa kwa nini hilo neno Malt linakosewa kosewa na kuandikwa Mart? Yaanni aliyeandika hapo ameshindwa kugezea hata kwenye cheti????????? Hizi mix za 'l' na 'r' mpaka kwenye kiinglish? I wonder what the word reading will be spelled and mean.
ReplyDeleteOtherwise Hongereni Ndovu
Aliyetoa hiyo list...hahaha!leo tumecheka na mke wangu mpaka basi duh!Kinje hizo Trillioni ni jumla na za mdingi au?
ReplyDeleteADDHABU WALIYOPEWA TBL KWA KUIHUJUMU SERENGETI HAITOSHI. HATAKAMA MAONI HAYA PIA HAUTAYAWEKA KAMA NILIYOTUMA MWANZO LAKINI UJUMBE UMEFIKA.
ReplyDeletesasa iki kinywaji ni kama bavaria-apple au ni kinywaji chenye kilevi 6%??
ReplyDeletekaazi kweli