Kaka nauza nyumba yangu, Ipo Dar es Salaam, Bunju mwisho, ina eneo kubwa ambalo halijajengwa kama Skwea Mita 1400 hivi. Nyumba haijafanyiwa matengenezo ya mwisho a.k.a finishing kama inavyoonekana kwenye picha.
Ina vyumba 3 vya kulala, kimoja kikiwa master na viwili vya kawaida,bafu na choo, sehemu ya kuweka mashine ya kufulia nguo, stoo, jiko, sebule ya kukaa na sehemu ya kula chakula. Eneo limepimwa na hati zote zipo.
Kwa atakayekuwa interested tuwasiliane kwa namba
+255 653 275440
au +255 788344693
Aksante Kaka.




I GUESS YOU DID NOT WANT TO PUT THE ASKING PRICE, BUT YOU COULD PUT A FIGURE AS LEADING PRICE SO THA IF THERE IS SOMEONE INTERESTED HE/SHE COULD FIGURE OUT HOW TO APPROACH YOU. JUST PUT A LEADING PRICE NOT NECESSARILY THE EXACT PRICE. OTHERWISE THE HOUSE IS AWESOME, ABSOLUTELY STUNNING.
ReplyDeleteWeka bei kaka kama dola milion mia nane tujue, maana ndio zenu huko siku hizi !!
ReplyDeleteunaweza ukatuma tangazo lako pia katika website ya http://www.swahilinet.com wanapokea matangazo kama haya "ya kuuza au kutafuta" na ni bure na yanawafikia watu wengi.
ReplyDeletesiku njema!
Mbona inafanana na nyumba ya Mr P Mwangosi, au nimekosea, aisee kaka ni kweli unauza nyumba????????????
ReplyDeleteweka bei banahhhhhhh,wabongo ndo zenu too much longolongo kwenye business.
ReplyDeleteAAAAH! DOGO NI KWELI NAUZA KUNA ISHU NATAKA NI ISOLVE NITAKUPIGIA NIKUDOKEZEE, ISIWE TAABU JAMANI BEI YA KUANZIA NI 120,000,000/=
ReplyDeleteNyumba nzuri lakini bei kubwa sana.....
ReplyDeleteNyumba nzuri lakini bei kubwa sana.....
ReplyDeleteKWENYE HIYO PICHA YA KWANZA NINAONA KITU CHA UKWELI KINAPANDA NGAZI....
ReplyDeleteTAHADHARI TU...
ReplyDeleteUkishauza nyumba yako hizo Milioni 120usije ukaenda kununua ile dawa ya kuzuia nafaka zisioze kutoka kwa wale wazungu wa WFP..., maana utakuja lia na kusaga meno.
au labda apa globuni/bloguni kuna limit ya page ya kuweka picha za biashara
ReplyDeletemaana ithink ungeweka japo sebule au jiko tuone pamekaaje ili tujue tunaaje kuulizana asa bei
kiwanja kikubwa safi sana
ila bunju njema sana,
Shilingi Billioni ngapi? Maana Bongo mtaua na bei zenu za nyuma!!! Halafu the problem with Bongo ni mdau wa may 11, 8:38 am...
ReplyDeleteMdau, Boston, Ulaya
mdau hapo juu umenivunja mbavu yani mwenzio hata nilikuwa sijaona kama kuna ngazi na kuna mdada wa nguvu anapanda ngazi watu mna macho ya ziada du ha ha haaa
ReplyDeleteKama nyumba ni yako, ina hati na unaamini ina thamani kama hiyo, nenda Africa Commercial Bank, badala ya kuiuza unachukua mkopo wa nyumba mpk 300M then unafanya ishu unayotaka kuifanyia, wakati unarudisha deni taratibu na huku unakuwa umeiretain nyumba yako.
ReplyDeleteJamani naomba kuuliza 120,000,000 ina maana ni enoe hilo liko juu sana au ni gharama ya kujenge hiyo nyumba mapka hapo ilipo ndio imefanya iwe hivyo.... Hivi tanzania ninani anafanya haya mambo ya kuangalia thamni za nyumba. Mbona nyumba hiyo ni very very pricey.....
ReplyDeleteNashindwa kuelewa ni kwanini...au ina maana kuna wanunuzi wengi au ........
Mji ninaokaa nyumba ni ghali kidogo na kunasababu lakini mji mmoja upo kama dakika kumi kutoka kapa ninapoishi nyumba ya 120,000,000 unapata imeshamalizwa, landscaping nzuri, education system nzuri, parks na vitu vingine ni bomba kabisa.....na pia nilijenga nyumba bongo from sratch miaka kama sita iliyopita na ilinicost sio zaidi ya 30,000,000...sasa kwanini mtu atafute faida yote hiyo?
Tanzania ipo juu sanaaaaa