Waswahili husema, kimfaacho mtu chake.
Kaka nauza nyumba yangu, Ipo Dar es Salaam, Bunju mwisho, ina eneo kubwa ambalo halijajengwa kama Skwea Mita 1400 hivi. Nyumba haijafanyiwa matengenezo ya mwisho a.k.a finishing kama inavyoonekana kwenye picha.
Ina vyumba 3 vya kulala, kimoja kikiwa master na viwili vya kawaida,bafu na choo, sehemu ya kuweka mashine ya kufulia nguo, stoo, jiko, sebule ya kukaa na sehemu ya kula chakula. Eneo limepimwa na hati zote zipo.
Kwa atakayekuwa interested tuwasiliane kwa namba
+255 653 275440
au +255 788344693
Aksante Kaka.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2010

    I GUESS YOU DID NOT WANT TO PUT THE ASKING PRICE, BUT YOU COULD PUT A FIGURE AS LEADING PRICE SO THA IF THERE IS SOMEONE INTERESTED HE/SHE COULD FIGURE OUT HOW TO APPROACH YOU. JUST PUT A LEADING PRICE NOT NECESSARILY THE EXACT PRICE. OTHERWISE THE HOUSE IS AWESOME, ABSOLUTELY STUNNING.

    ReplyDelete
  2. Mpiga Box UKMay 10, 2010

    Weka bei kaka kama dola milion mia nane tujue, maana ndio zenu huko siku hizi !!

    ReplyDelete
  3. unaweza ukatuma tangazo lako pia katika website ya http://www.swahilinet.com wanapokea matangazo kama haya "ya kuuza au kutafuta" na ni bure na yanawafikia watu wengi.
    siku njema!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2010

    Mbona inafanana na nyumba ya Mr P Mwangosi, au nimekosea, aisee kaka ni kweli unauza nyumba????????????

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2010

    weka bei banahhhhhhh,wabongo ndo zenu too much longolongo kwenye business.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2010

    AAAAH! DOGO NI KWELI NAUZA KUNA ISHU NATAKA NI ISOLVE NITAKUPIGIA NIKUDOKEZEE, ISIWE TAABU JAMANI BEI YA KUANZIA NI 120,000,000/=

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2010

    Nyumba nzuri lakini bei kubwa sana.....

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2010

    Nyumba nzuri lakini bei kubwa sana.....

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2010

    KWENYE HIYO PICHA YA KWANZA NINAONA KITU CHA UKWELI KINAPANDA NGAZI....

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 11, 2010

    TAHADHARI TU...
    Ukishauza nyumba yako hizo Milioni 120usije ukaenda kununua ile dawa ya kuzuia nafaka zisioze kutoka kwa wale wazungu wa WFP..., maana utakuja lia na kusaga meno.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 11, 2010

    au labda apa globuni/bloguni kuna limit ya page ya kuweka picha za biashara
    maana ithink ungeweka japo sebule au jiko tuone pamekaaje ili tujue tunaaje kuulizana asa bei
    kiwanja kikubwa safi sana
    ila bunju njema sana,

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 11, 2010

    Shilingi Billioni ngapi? Maana Bongo mtaua na bei zenu za nyuma!!! Halafu the problem with Bongo ni mdau wa may 11, 8:38 am...

    Mdau, Boston, Ulaya

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 11, 2010

    mdau hapo juu umenivunja mbavu yani mwenzio hata nilikuwa sijaona kama kuna ngazi na kuna mdada wa nguvu anapanda ngazi watu mna macho ya ziada du ha ha haaa

    ReplyDelete
  14. ObserverMay 11, 2010

    Kama nyumba ni yako, ina hati na unaamini ina thamani kama hiyo, nenda Africa Commercial Bank, badala ya kuiuza unachukua mkopo wa nyumba mpk 300M then unafanya ishu unayotaka kuifanyia, wakati unarudisha deni taratibu na huku unakuwa umeiretain nyumba yako.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 11, 2010

    Jamani naomba kuuliza 120,000,000 ina maana ni enoe hilo liko juu sana au ni gharama ya kujenge hiyo nyumba mapka hapo ilipo ndio imefanya iwe hivyo.... Hivi tanzania ninani anafanya haya mambo ya kuangalia thamni za nyumba. Mbona nyumba hiyo ni very very pricey.....

    Nashindwa kuelewa ni kwanini...au ina maana kuna wanunuzi wengi au ........

    Mji ninaokaa nyumba ni ghali kidogo na kunasababu lakini mji mmoja upo kama dakika kumi kutoka kapa ninapoishi nyumba ya 120,000,000 unapata imeshamalizwa, landscaping nzuri, education system nzuri, parks na vitu vingine ni bomba kabisa.....na pia nilijenga nyumba bongo from sratch miaka kama sita iliyopita na ilinicost sio zaidi ya 30,000,000...sasa kwanini mtu atafute faida yote hiyo?

    Tanzania ipo juu sanaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...