Ankal,
usiwafanyie hiyana wadau wa Chelsea kwa kutowapakulia hii paredi kama souvenir ya mwaka wao wa 2009/10 kuibuka safi huwezi jua mwakani Ankal ikawa mwaka wenu wa kufurahi.

Mdau Ukerewe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hongera chelsea fc kwa kushinda vikombe viwili,from blue kamanda

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2010

    Mbona mnawapunguzia? jumla wamekusanya mwaka huu kombe tatu,,mbona wadau mnasahau lile kombe la kwanza la NGAO?lile lakufungua Premier League.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...