Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Waziri Mkuu wa Zimbabwe Mh. Morgan Tsavangirai baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu (wetu) jijini Dar leo
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai, Ofisini kwake jijini Dar leo. Tsavangirai yuko nchini kuhudhuria mkutano wa Uchumi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2010

    ... How wonderful and pleasant it is, when Brothers live together in harmony ...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 05, 2010

    Woow, two very handsome boys!!

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa Viongozi wetu si ndio waliwahi kusemaga kwamba tuwe tunatumia FENICHA za nchini ili kuwapromot wajasiriamaliwetu wazawa?

    Sasa hizo Fenicha zote hapo ofisini kwa Pinda mbona ni za nje hizo jamani?

    Mweeh!

    ReplyDelete
  4. PETER NALITOLELAMay 05, 2010

    COMMENT MULEVI HAPA JUU.....1
    MULEVI IM COMMENTING IN YOU THAT ARE YOU MULEVI BIGGIE TIME, THE FURNITURES ARE LOOK SO NICE IS NOT MEANING ARE OVER SEAS THEY ALL IN HERE TANZANIA MADE BY PEOPLE OF THIS COUNTRY. ANY GOOD IS NOT SOMETHING FOR OVERSEAS SOMEHOW WE DOES GET OUR OWNING STAFF TOO VERY IMPRESSIVE GOOD STAFF HERE HERE IN DAR AND ELSEWHERE TOO SO THIS TWO HANDSOME MINISTERS IS LOOKING SHARP SO DO YOU RECKON THEY ARE FROM EUROPE OR OVERSEAS TOO THE QUESTION ANSWER IS NO THEY ARE FROM MOTHERLAND AFRICA SEE NOW MULEVI?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 05, 2010

    Jamani, hiki kiinglishi cha Bwana PETER NALITOLELA hapo juu! mmmh! kazi kwelikweli!!!!!!!!!!!!!!

    Jamani, sijui mwenzetu alijifunzia wapi hicho! Lakini mi sielewi, mbona kiswahili chetu ni kizuri tu kwa nini tusikitumie tu tukaeleweka kuliko kuchanganya madawa hapa!

    Mmmh msikaji ni kama ameweka chumvi kwenye chai hivi, yaani hainyweki kabisa!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 05, 2010

    hawa viongozi kama ndugu vile.
    Peter umeniacha gizani kaka hahahahahahahahha.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2010

    Ankal nakukubali kwani uko juu! Naona tai ya Tshangirai rangi zake kama T-shirt yako!! tehe tehee teheee...!! Big up sana!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2010

    Duh!! Nakumbuka wakati Tsavangirai alipokuwa anakula KIBANO na Askari wa SIMBA YA ZIMBABWE, inafurahisha jamaa ana roho kama ya Mandela tu yoote kasamehe, duh lakini KIBANO KILIKUWA NI SOOO maana alikuwa anavimba ile kinoma

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2010

    ANKAL KWELI BONGO TAMBARARE YAANI MKUU NA MADARAKA YAKE UNATEMBELEWA NA MGENI;CHA AJABU LUNINGA NAYO EMEWASHWA SASA WAKO MAKINI NA MAMBO YA MSINGI HAWA AU WANAANGALIA CHANEL 5 TUU:TUJIFUNZE WABONGO UKIWA NA WAGENI NYUMBANI ZIMA TV YAKO NA KUWA MAKINI NA UGENI WAKO:mtoa maoni

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2010

    kwa kweli tujitahidi kutoa maoni kwa kiswahili mambo naona magumu kwa wengine maana huyo hapo juu (nalitolela) wee acha tu kaelewa mwenyewe alichokiandika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...