Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua jengo la Wodi ya Macho katika hospitali ya Mkoa wa Singida akiwa katika ziara ya mkoa wikiendi hii. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Mbunge wa Singida Mjini Mohammed Dewji.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2010

    Muheshimiwa mwenye Goggles ...

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2010

    Mseme msiseme lakini kama kungekua na wabunge wawili tu kama huyu tungefika mbali saaaaaaannnna

    Mbunge wa singina na anuani yake ni ya singida...Ukilinganisha kuna mbunge mwingine wa hapo sijui ni singida ya kati au ya vijijini ukiangalia kwenye list ya bunge anuani yake ni ya Dar es salaam. Anakumbuka huko vijijini wakati wa kuomba kura tu....

    ReplyDelete
  3. Halle BerryMay 02, 2010

    mizengwe Pinda, sexiest man Alive! in my opinion...

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 03, 2010

    mbona naona wazee tu. nahisi ilikuwa nafasi nzuri kwa vijana kuhudumia mkutano huu na wazee wakapumzika kidogo ni lini wataacha mizengwe hawamunoni huyo dada muaandaji wa kanda ya africa ni binti tu mdogo. wake up mijizee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...