Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ubora wa tumbaku wakati alipozindua Msimu wa Uuzaji tumbaku nchini katika kijiji cha Majalila wilayani Mpanda jana. Kulia ni Mkewe Tunu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 14, 2010

    Hii imekaaje? inaonekana kama huyu Mama Mkulima amemzidi maarifa Mtoto wa Mkulima? au Mtoto wa Mkulima amezoea hiyo harufu ya tumbaku?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 14, 2010

    huyo ndiyo mtoto wa mkulima bwana hata wewe mchukue dem au mkeo mpeleke kijijini kwenu then shamba uone atakavyojishaua wenyeji wakimpa groves au gum boot atachukua tu, walinzi wamempa mtoto wa mkulima akatupa chini mkewe kavaa, kama kuna ulaya viongozi wasivae maana wanategesha sumu humo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2010

    bongo bwana mambo ya ajabu kweli!ati waziri hakuvaa mask raia wa kawaida amevaa.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2010

    I don't think the government should be supporting tobbaco... Kills people!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2010

    inakuwaje mtu mmoja tu ndo kavaa mask....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...