Ofisa Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, akimpongeza Miss Mkuranga, Rahma Said baada ya kutangazwa mshindi katika shindano llilofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Parapanda uliopo Mkuranga Mkoani Pwani.
Vodacom Miss Mkuranga, Rahma Said (katikati) akiwa na mshindi wa pili, Amina Ally (kulia) na mshindi wa tatu, Averine Fredy wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Rahma tangazwa mshindi, shindano lililofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Parapanda, Mkuranga, Mkoani Pwani
Vodacom Miss Mkuranga Rahma Said akifurahia ushindi




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 24, 2010

    The Lady in Black is quite something.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 25, 2010

    umependeza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...